Naibu Spika Tulia Ackson kuiteka Tukuyu!

The place is so green, Tukuyu kupo safi sana kama hali ya hewa ile ingekuwa Dodoma au Dar ningeishi sana mikoa hiyo, I love Tukuyu msiharibu mazingira nyie washamba wetu wanyakyusa
Aisee mie mshamba per se, orijino!!
Karibia nitatoka kwenye ushamba na kuingia uplantation!!!
 
Naona ppf, crdb, vodacom na wawekezaji wengine wakiwekeza kwa ajili ya future. I hope she is worth it..
 
Mnooo. Watu wanapiga kuanzia mbali sana. By the way sioni kama Mhe. Sauli Amon anawajibika ipaswavyo kwa wananchi wa jimbo lake. Simsikii sana bungeni, ni kama alivyokuwa Rostam.
Kuna nyepesi nyepesi nilipata kuwa jamaa hatogombea tena 2020.
 
Hapa ndio Wengine tunapoidharau ccm
yaani Wanaona kila mtu ni mpumbavu watu wana matatizo ambayo hawajui watayatauje.. wao wanawapelekea Ngoma labda na Pilau
 
View attachment 588701
Dr Tulia Ackson anaingia ulingo wa siasa Wilayani Rungwe kama farasi wa Ngong.

Kuanzia tarh 21 hadi 23 Sept 2017 kutakuwa na ngoma za asili katika mji wa Tukuyu.

Naona kwa spidi hii, huyu mbunge wetu bubu, SH Amon azione hizo indiketa na akae chonjo!
Maandalizi ya kuwa mbunge ila upinzani marufuku, halafu wakati huo huo anadai yeye ni rais wa wote hana upendelewo wowote kwa chama chochote.
 
ameshachukua hilo jimbo kitambo sana, sema alikuwa anataka hadi kwenda pale mbeya mjini sugu alishaanza kuwa na wasiwasi, kama akienda Tukuyu, hana mpinzani. hata mbeya mjini akiamua, sugu hamuwezi huyu dada.
 
Mkuu,
JK kabla hajawa raisi alianza kampeni za ndani kwa ndani mwaka gani? By the way, tamasha la utamaduni ni kampeni?
Wewe popoma acha kujitenya alafu unacheka mwenyewe. Wewe ndio umezihusiha hizo hekaya zake na kwenye Andiko lako kwa Kumtaja Amon ambaye kimsingi naye hakushinda Bali kwa mabavu ya Dola akatangazwa mshindi kwa kuzingatia mahusiano yake ya kibiashara na watu wa hicho chama, alafu wewe huyo huyo unaruka kuhusianisha tukio hilo na siasa.
 
ameshachukua hilo jimbo kitambo sana, sema alikuwa anataka hadi kwenda pale mbeya mjini sugu alishaanza kuwa na wasiwasi, kama akienda Tukuyu, hana mpinzani. hata mbeya mjini akiamua, sugu hamuwezi huyu dada.
Endelea Kuota ndoto yako ukiamka utaona uhalisia ulivyo.
 
mbona hata mwaka jana lilikuwepo na nilihudhuria hapo tatizo wanyakyusa wanaaibisha hawana vazi la asili
 
Anayesema S. H. Amon ajiandae hajui kilicho nyuma ya pazia, hilo jimbo CCM hawakupata hasa mtu wao wa kuweza kuwa na uhakika wa kushinda hivyo iliwalazimu kumuomba jamaa agombee kwa sababu ya background yake kwa wana Rungwe japo ushindi wake pia ulileta utata na CHADEMA.

Pili inasemekana jamaa hatogombea tena cause anaona anatumia muda mwingi pengine na resources nyingi kuliko akiendelea na biashara zake.
Nadhani kwa mazingira hayo wanamuandaa huyo dada
 
Tangazo linasema FREE ENTERANCE! Sasa sijui ni sawa na ENTRANCE au walichanganya na Kitukuyu!
 
Back
Top Bottom