amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 907
Mh. Tundu LISSU ameomba mwongozo kwa naibu spika kuhusiana na mwenyekiti wa kamati ya maliasili, utalii na mazingira James Lembeli akisoma report ya kamati ambayo haifanani na ile waliyopewa wabunge. Ndipo Ndugai akasimama na kukiri kuwa na kweli wabunge hawajapewa nakala watapewa baadaye.
My take; kwanini uzembe huu unatokea na mpaka mbunge anaomba mwongozo ndo linatolewa ufafanuzi?
My take; kwanini uzembe huu unatokea na mpaka mbunge anaomba mwongozo ndo linatolewa ufafanuzi?