Naibu spika Job Ndugai live kwenye jahazi clouds fm

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Kuna tetesi kuwa kuna sintofahamu kati ya spika Anne Makinda na naibu wake Job Ndugai kuhusiana na naibu spika kuruhusu wabunge kujadili sakata la katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini David Jailo Kitundu kurejea kwenye nafasi yake baada ya kupewa likizo kupisha uchunguzi. Source: Clouds fm radio
 
Bomu walilotega wenyewe limelipuka, na bado yatalipuka mengi. Mungu yupo na ataokoa watanzania maana nchi imebaki mifupa mitupu.
 
Back
Top Bottom