Naibu Rais wa Kenya William Ruto aondolewa mashtaka

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,375
ICC leo hii wamemuondolea mashtaka Naibu Rais wa Kenya Bw William Ruto baada ya kuwa ushahidi haujitoshelezi na umevurugwa mno.

Kesi ilikuwa ni kuhusu machafuko yaliyosababisha mauaji baada ya uchaguzi nchini Kenya mnamo mwaka 2007.

Amefutiwa pamoja na Mwanahabari aliyeshitakiwa nae.

=================

Kenya's William Ruto's case dismissed by ICC
_89081662_89081661.jpg

William Ruto denies charges of crimes against humanity
The International Criminal Court has thrown out the case against Kenyan Deputy President William Ruto.

The presiding judge declared it a mistrial because of a "troubling incidence of witness interference and intolerable political meddling".

Mr Ruto denied murder, deportation and persecution charges during violence that followed the 2007 elections in which about 1,200 people were killed.

His lawyers wanted the case to be terminated due to a lack of evidence.

Mr Ruto is one of the most senior politicians to be tried by the ICC.

In 2014, the prosecutor dropped similar charges against Kenyan President Uhuru Kenyatta, alleging that witnesses had been intimidated to make them change their testimony.

Mr Ruto and Mr Kenyatta were on opposite sides of the 2007 election, but formed an alliance that won the 2013 election.

There has not been a single conviction over the Kenyan election violence, which lasted for four month after the December 2007 election.

The prosecution case against Mr Ruto was dogged by repeated setbacks.

_89081667_89081666.jpg

Scores of people were displaced by the post-election violence of 2007-8
_89081671_89081670.jpg

Mr Ruto is one of the most senior politicians to be tried by the ICC
In February judges at the ICC barred the use of recanted testimony, meaning that prior recorded witness statements could not be used by prosecutors.

Several key witnesses in the case have changed their statements, which prosecutors said was due to intimidation and bribery.

Mr Ruto's lawyers said he should be acquitted because so many key prosecution witnesses either dropped or changed their original statements.

ICC prosecutor Fatou Bensouda acknowledged that the loss of witnesses weakened the case against the deputy president - but she argued there still remained enough evidence to proceed with the trial.

Source: BBC
 
Haya nyie chadema mnao piga kelele kila siku kuhusu ICC, huyo sasa ruto anachanja mbuga kama kawa. Kila mkenya anajua jamaa alihusika na hakuna kesi tena.
 
Haya nyie chadema mnao piga kelele kila siku kuhusu ICC, huyo sasa ruto anachanja mbuga kama kawa. Kila mkenya anajua jamaa alihusika na hakuna kesi tena.
Honorable Ruto, the Kenyan deputy President of Kenya is well known kuwa hakuhusika na vurugu zilizotokea Kenya 2007/2008, to substantiate this ni kuwa kama hapa Tanzania Honorable Lowassa angalitoa matamshi kuwa kaporwa ushindi mwaka jana 25th Oct 2015 ni quite obvious pangetokea vurugu na mauaji Tanzania na raia wa kawaida wangelikufa, so the same thing applies to the Kenyan havoc, hon Raila Odinga alitangazia umma kuwa kaporwa ushindi as a result vurugu na mauaji yakatokea. That is to say mhusika mkuu wa vurugu Kenya alikuwa anakula shushu mitaani na wale ambao hawakuhusika wakaburutwa mahakamani ndiyo maana wakaachiwa huru - call a spade a spade and ashame the devil! Ocampo alikosea kwa kufuata siasa badala ya taaluma yake!
 
Back
Top Bottom