Nahitaji wazo la biashara ya 200k

Enter Passcode

JF-Expert Member
Mar 1, 2024
250
521
Salaam

Wakuu mimi ni mwangalizi wa jumba la ndugu yangu, yeye yuko Texas-Huoston.

Jumba ni kubwa sana na lipo maeneo ya watu wenye uwezo, ila ndani nipo mwenyewe

Kwa nje ya geti kuna sehemu kubwa ya kufungua bzness na movement zpo kiasi

Je, naweza weka kitu gani hapo..... mtaji ni 200k tu

Asanteni na Karibuni kwa mawazo
 
Ombi lako ninzuri sana lakini binafsi nashindwa kuchangia maoni yangu kwakua picha halisi ya eneo la n'je ya jumba lakifahari siioni.
Hivo nahofia kama ntakupa ushauli wagenge wakati hapo wamejaa mapedeshee wanyonga tai na mafriji makubwa ndani mwao.
So,ngoja waje wadau kuchanga karata.
 
Mwenye jengo yuko humu ,akilona geti lake vp 😂😂😂
 
Fungua shoe shine na shoe repair na kuosha viatu. Ma don watavileta na kuviacha.
At the same time unaweka hyo maji.
Miez 3 baadae unaweka genge kali la kuuza matunda na mboga za anasa kama vile ma "epo" na mabrokoli sijui yale..
Unaongeza na bango la "ushauri wa afya na kisukari na presha bure"
 
Ombi lako ninzuri sana lakini binafsi nashindwa kuchangia maoni yangu kwakua picha halisi ya eneo la n'je ya jumba lakifahari siioni.
Hivo nahofia kama ntakupa ushauli wagenge wakati hapo wamejaa mapedeshee wanyonga tai na mafriji makubwa ndani mwao.
So,ngoja waje wadau kuchanga karata.
Hata hilo linafaa ndugu hawawezi kosa cha kununua.
tena anaweza kufanya biashara ya kuchukua oda kwao kwanza wanataka nini wakamtuma sokoni kisha akafanya delivery.
kwa hiyo akiwa na wateja 10 kwa siku wanaoweza kila mteja kumpa faida ya 3000 kwa siku 30,000 sawa na 900,000 kwa mwezi.
 
Fungua shoe shine na shoe repair na kuosha viatu. Ma don watavileta na kuviacha.
At the same time unaweka hyo maji.
Miez 3 baadae unaweka genge kali la kuuza matunda na mboga za anasa kama vile ma "epo" na mabrokoli sijui yale..
Unaongeza na bango la "ushauri wa afya na kisukari na presha bure"
Wazo limeambatana na furaha 🤣🤣🤣👍
 
200k anzisha biashara ya matunda ni mtaji mzuri sana kwa biashara hyo, kisha ongeza kidogo kidogo kadri siku zinavyoenda.

Kama una akili ya biashara utakuja kunishukuru.
 
Salaam

Wakuu mimi ni mwangalizi wa jumba la ndugu yangu, yeye yuko Texas-Huoston.

Jumba ni kubwa sana na lipo maeneo ya watu wenye uwezo, ila ndani nipo mwenyewe

Kwa nje ya geti kuna sehemu kubwa ya kufungua bzness na movement zpo kiasi

Je, naweza weka kitu gani hapo..... mtaji ni 200k tu

Asanteni na Karibuni kwa mawazo
uza mayai ya kukaanga ila usiwe na tamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom