Nahitaji urafiki na msichana aliye serious

Lakisipesa

Member
Apr 1, 2012
20
11
Mimi ni kijana miaka yangu ni 32, elimu yangu ni shahada ya pili. Nahitaji rafiki wa kweli ambae kama Mungu akipenda tunaweza kuwa wachumba. Msichana awe na umri usiozidi miaka 26, awe na angalau na shahada ya kwanza au awe mwanafunzi wa chuo kikuu, awe mkweli na anayemuogopa Mungu, Mkristo, awe jasiri wa kufanya mambo yake (awe anajiamini), ajue kuongea kingereza.


Niandikie kwa e-mail yangu hii edwinjustine@hotmail.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom