Nahitaji ubunge!

GAMAH

Member
Jul 30, 2012
38
2
Hembu tusaidiane katika hili kwa sasa nina umri wa miaka 32 namalizia masomo yangu mwaka huu nahitaji kwenda kugombea ubunge je nifanye nin kwanza sina pesa za kutumia kwenye mchakato pil sheria ya lazima upitie chama fulani ni kikwazo kwa watanzania maana kwenye vyama wana watu 'wao' kwa maslahi ya kichama na si ya wananchi!

Nahitaji kugombea naamini ntawawakilisha wananchi wangu vizuri na pia jamani ajira ngumu lakini huko mjengoni wameongezewa nackia sasa wanavuta 10mil. kwa mwezi!!
 
Hembu tusaidiane katika hili kwa sasa nina umri wa miaka 32 namalizia masomo yangu mwaka huu nahitaji kwenda kugombea ubunge je nifanye nin kwanza sina pesa za kutumia kwenye mchakato pil sheria ya lazima upitie chama fulani ni kikwazo kwa watanzania maana kwenye vyama wana watu 'wao' kwa maslahi ya kichama na si ya wananchi! nahitaji kugombea naamini ntawawakilisha wananchi wangu vizuri na pia jamani ajira ngumu lakini huko mjengoni wameongezewa nackia sasa wanavuta 10mil. kwa mwezi!!

Umri huo ni wa kutafuta watoto kwanza, huoni unazeeka?
 
je wewe ni jinsia gani?
kama ni mwanaume wasiliana na makanda wa m4c wakucheki kama si gamba.
ila kama ni wa kike jaribu kutembelea makao makuu ya ccm pale lumumba cheka na kila mtu na watakachokuomba kama hakipungui wape tu,hiyo itakusaidia kupata viti maalum.
 
hapo uliposema mambo ya kuvuta mil 10 kummbe ndio desire yako nakuhakikishia ccm ndo itakufaa ila kwingine hupati na hta ukipata lazimma wakutupie virago haraka sana
 
why only ccm ndo panifae kwani vyama vingine they dont take hiyo salary? mbona wameongezeana kimya kimya cjackia yoyote toka out of ccm akilalamika tumepewa hela nyingi???? thats why kama umesoma post yangu ukaelewa sitaki kupitia kwenye chama coz vyama vyote ni wanafiki tuu maslahi ya chama ndo wametanguliza mbele
 
nenda kwa MTIKILA anahitaji mtu kama wewe hongera
 
sasa wewe unagombea sbb ajira ni ngumu au umeguswa na matatizo ya wananch na ukaona uwezo wa kuwasaidia unao?hebu jieleze vizuri
 
mtikila is no longer in bongo politics i think wamemnyamazisha
 
why only ccm ndo panifae kwani vyama vingine they dont take hiyo salary? mbona wameongezeana kimya kimya cjackia yoyote toka out of ccm akilalamika tumepewa hela nyingi???? thats why kama umesoma post yangu ukaelewa sitaki kupitia kwenye chama coz vyama vyote ni wanafiki tuu maslahi ya chama ndo wametanguliza mbele
Na wewe umeonyesha desire ya hela sasa una tofauti gani na hao wengine?
 
i think uwezo wa kuwakilisha ninao najiamini, pili nataka kuwawakilisha wananchi wenzangu maana huyu aliyepo now hajiwez aliiba kura tuu alishindwa na mtalaka wa slaa..., tatu kuhusu ugumu wa ajira una nafasi ndogo ila yoyote anaefanya kazi maslahi lazima thats y nikataja hiyo mil. 10
 
i know that ipo kwa constitution, am waiting siku ya kuoa maoni ya katiba hapa Dar nitoe dukuduku la mgombea binafsi, wasipobadlisha du sioni chama cha kugombea ingeruhusiwa kuanzisha chama chako mwenyew bila members ningeweza
 
aah kumbe unataka kugombea Jimbo la Hanang Kwa Mary Nagu,kiukweli Rose Kamili wa CHADEMA yuko juu ile mbaya lakini keep it up,ugombee kama Private Candidate kwani wananchi wa kule Hanang hawataki kuisikia CCM kwa sasa ,wao ni cdm tu,hivyo ukiwa PC labda unaweza ukawashawishi.

Mkuu Kila la Kheri.
 
ila wewe shida yako ni ubunge tu na sio kuwatetea wananchi,je unajuaje shida zao wakati unaishi Dar.
 
Mhhh! Kama wabunge wenyewe watarajiwa ndiyo kama wewe basi hatari tupu! Kwanini unadhani kigezo cha wewe kumaliza shule au kuwa na pesa ndiyo sababu yakugomea ubunge? By the way umesema unataka ubunge! Nadhani unaweza kuufata unakopatikana. Uko all over! Watu wanatanguliza maslahi binafsi kwanza then wananchi baadae! God forbid!

Hembu tusaidiane katika hili kwa sasa nina umri wa miaka 32 namalizia masomo yangu mwaka huu nahitaji kwenda kugombea ubunge je nifanye nin kwanza sina pesa za kutumia kwenye mchakato pil sheria ya lazima upitie chama fulani ni kikwazo kwa watanzania maana kwenye vyama wana watu 'wao' kwa maslahi ya kichama na si ya wananchi!

Nahitaji kugombea naamini ntawawakilisha wananchi wangu vizuri na pia jamani ajira ngumu lakini huko mjengoni wameongezewa nackia sasa wanavuta 10mil. kwa mwezi!!
 
Hembu tusaidiane katika hili kwa sasa nina umri wa miaka 32 namalizia masomo yangu mwaka huu nahitaji kwenda kugombea ubunge je nifanye nin kwanza sina pesa za kutumia kwenye mchakato pil sheria ya lazima upitie chama fulani ni kikwazo kwa watanzania maana kwenye vyama wana watu 'wao' kwa maslahi ya kichama na si ya wananchi!

Nahitaji kugombea naamini ntawawakilisha wananchi wangu vizuri na pia jamani ajira ngumu lakini huko mjengoni wameongezewa nackia sasa wanavuta 10mil. kwa mwezi!!
[/QUO

unataka kusaidia wananchi au kwa vile ajira ni ngumu?
 
Back
Top Bottom