Nahitaji tiba.

Twaps

Member
May 26, 2011
50
28
Nina tatizo la ngozi ktk ngozi yangu ni la muda mrefu,nilikua natumia dawa kutoka kwa madaktari tofauti tofauti lakin sasa nimechoka hvo nahitaji dr bingwa wa magonjwa ya ngozi atakaemaliza tatizo langu.Nipo Dar es salaam hvo yeyote anyefahamu dr bingwa wa ngozi anipe mwongozo nikamwone ili roho yangu itulie.Mbarikiwe
 
Nenda Tegeta ulizia Dispensary/Hospt ya mission ni ya masister wanatibu ugonjwa wa ngozi na fungus sugu.
 
Nina tatizo la ngozi ktk ngozi yangu ni la muda mrefu,nilikua natumia dawa kutoka kwa madaktari tofauti tofauti lakin sasa nimechoka hvo nahitaji dr bingwa wa magonjwa ya ngozi atakaemaliza tatizo langu.Nipo Dar es salaam hvo yeyote anyefahamu dr bingwa wa ngozi anipe mwongozo nikamwone ili roho yangu itulie.Mbarikiwe

Dr Lijah 0784284146 ni Dermatologist wasiliana naye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom