Ninahitaji shamba heka 15-30.
Kati ya Kiwangwa na Msata.
Lisiwe mbali na Barabara kuu.
Kama unalo Ni PM.
Mkuu vipi maeneo ya Chalinze njia ya kwenda gwata, kijiji cha Chahuwa...??
Kuna barabara nzuri inayoconnect hicho kijiji na barabara kuu ya Moro...
Kuna mradi wa maji unapita, mabomba ya maji tayari yamewekwa, very soon maji yatapatikana...
Ardhi ni virgin, very preferable kwa agribusiness...

Mkuu kama utaridhika shamba lipo kimbiji kilomita tano kutoka kimbiji centre ni pm kama utaridhika ni ekari 34 nnazo nyingne 35 zipo puna mbele kidogo ya kimbiji kma km 40 kutoka feri karibu mkuu..!Mm nahitaji mwalusembe mkuranga, kama mtu ana info please PM me for more details.
Ninataka nyingi zaidi Ndg Yangu.
Hapo puna au Kimbiji nikitaka hekari 70 unauza shillingi ngapi mkuu??Mkuu kama utaitaji maeneo makubwa zaidi ya ekari hizo ila yapo kimbiji na puna ni pm mkuu.
Bei kwa hekari moja ni kiasi gani mkuu??Mkuu kama utaridhika shamba lipo kimbiji kilomita tano kutoka kimbiji centre ni pm kama utaridhika ni ekari 34 nnazo nyingne 35 zipo puna mbele kidogo ya kimbiji kma km 40 kutoka feri karibu mkuu..!