Nahitaji Projector

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Wakuu,

Nina ka Bar kangu nahitaji ka projector kwaajili ya Kutazamia Mpira. mwenye nayo ya Bei Nafuu Naomba anisaidie Tafadhali.

Available @PM.
 
  • Thanks
Reactions: G12
Wakuu,

Nina ka Bar kangu nahitaji ka projector kwaajili ya Kutazamia Mpira. mwenye nayo ya Bei Nafuu Naomba anisaidie Tafadhali.

Available @PM.
mkuu utapata kweli wa kukusaidia!!!labda akuuzie!!!
 
Jambo la msingi unalotakiwa ujue ni kuwa projecta uwezo wake unapimwa ktk lumens na ina life time ya lamp . Na lamp yake tu ikiwa mpya c chini ya tsh lak nne na elf 80 hivyo lazma ujue lamp ishatumika masaa mangapi na imebakiza masaa mangapi laaa sivyo...!? Ngoja nicheki na kamati zangu, ah, sijui sikuhiz kamati ndo tume? za biashara ntaku pm
 
Tajiri yangu nashukuru xana. Thanks again Buddy.
 
Nitwangie ziko mbili InFocus 300,000 na Epson 400,000 bado lamp zake zina masaa zaidi ya 2000 ambapo nisawa na miaka mingapi utapiga mwenyewe kulingana na masaa utavyokuwa unatumia. 0717017820
 
Umenifurahisha hapo kwenye red!!Yawezekana matumizi ya masaa kwake ikawa tofauti na wewe i real like it na senksi nimekugongea!!Maana nimecheka mbaya!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom