Nahitaji mawazo yenu

duh pole kijana. ila mwana sasa mie naogopa kitu kimoja. kwa kuwa wewe umekuwa unabeba wa wenzako mentality yako ilishakuwa kuwa wanawake wote kwisha bebwa na kweli mwana wengi wao wapo na vijeba. anyways for noww kijana ushauri ni kwamba dont hurry into this matter...make sure kwanza kabisa wewe unataka mke mwenye sifa zipi both in physical appearance and character wise. baada ya hapo sasa ndio unaanza msako mwana bila pressure kijana 27 bado u got time .
 
we jamaa inamaana chuo ulichosoma wasichana woote walikuwa na watu wao..mtaani vp? Subiri ambae ataachana na mpnz wake umchukue...halafu hv kwani maisha ni lazima kuoa?
MIMI NAONA HV NILIVYO NNA AMAN SANA.
 
Kuna mshikaji wangu kapata kipya ana achana na demu wake kaa mkao wa kula nitaku update situation inavyoendelea umkombe huyo awe wako
 
kwakua haupo serious na umeshakubali kushika namba mbili,huo udhaifu uliokuanao utoe.
 
Back
Top Bottom