Nahitaji Mashine ya kukamua Alizeti

Pung'o boy

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
685
304
Wakuu eti mashine ya kukamulia mafuta ya alizetii bei ya chini kabisaa naweza pata kwa bei gani na uwezo wake wa ufanyaji kazi...kwa saa inakamua lita ngapi?
 
Back
Top Bottom