Nahitaji marafiki wakupeana chanel za business na kushirikiana kibiashara.

Kichwa cha habari chahusika,
Marafiki hao naomba wawe na sifa zifuatazo....
  1. Wasio na tamaa
  2. Wenye uvumilivu na wanachokifanya.
  3. Wenye kujituma
  4. Wabunifu
  5. Uwe tayari kufanya kitu kwa niaba ya aliyekushirikisha issue hiyo
  6. Mwisho watoke kwenye mikoa ifuatayo

  • Arusha
  • Iringa
  • Mbeya
  • Morogoro
  • Mwanza
  • Dar es Salaam.
  • Dodoma
Karibuni wote na hii ni kwa jinsia zote.
Unachotakiwa ni kuni-PM jina,email na number zako za simu then tuangalie jinsi ya kuunga hii network kwa kuanzia tu tutajiunga kwa emails na kisha Whatsup.

Mkuu mie nipo Tanga na ningependa zaidi nijiunge na hii network
 
Ngoja mtapeliwe then mrudi kutulalamikia humu ndani, maana wa bongo mnapenda sana mitelemko na kwa hali hii mtatapeliwa mpaka m~kome.
 
Ngoja mtapeliwe then mrudi kutulalamikia humu ndani, maana wa bongo mnapenda sana mitelemko na kwa hali hii mtatapeliwa mpaka m~kome.
mkuu hapa ni urafiki wa kupeana tulichonacho kama ideas,what-to-do, generally nguvu zetu na akili yetu ndo mtaji wetu, hakuna atakayeambiwa toa hela kuuza wala kununua. hata hivyo group ndo litakaloamua what to do for the group, this will be some kind of pioneer group!
 
Hivi hilo Group linaundwa lini cause others cant wait long na issue za entrepreneurship time is mega resource cause many got an idea and utilize it on the spot now they are otherwise so please Founder make it punctual.
 
chongchung relax broo will contact you soon as we currently receiving other friend's contact details!
However dont expecting much out of the group, expect to give much to the group!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom