Kitabu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 302
- 26
Wakuu nimeanzisha kilimo cha mipapai.
Nilitegemea nitumie mvua za masika ili kupunguza gharama za umwagiliaji, lakini kwa bahati mbaya mvua za mwaka huu si nyingi.
Nimepata wazo la kuwa na madumu ya maji yale ya kuuzia maji, lita 12(mfano uhai na masafi) kwamba nikiyapata hayo najaza maji na kutoboa tundu dogo halafu maji yatoke kidogo kidogo.
Sasa changamoto ni kuyapata hayo machupa, nauliza kama kuna anayeweza kunisaidia kuyapata tafadhali tuwasiliane kwa namba 0717 166 455.
Asante