Nahitaji kusahau tukio zito alilonipiga X wangu

Nifanyaje hapa akili ipoe na ianze upya.
Yajenge upya na ex wako keshajifunza, wanawake wa kizazi hiki hawajifunzi kitu ikiwa hawajawahi kupigwa tukio. Hivyo ukitafuta demu ambaye hajawahi kupigwa tukio atakurudisha kule kule kwenye maumivu ya awali.
 
Habari ndugu zangu,

Nakumbuka niliwahi kuambiwa na marafiki zangu mpenzi hasomeshwi, nikakaza fuvu, sikutaka kusikia kabisa.

Nilijitosa nikasomesha mwanamke aliye kuaga mpenzi wangu kwanzia advance level shule ya private mpaka chuo kikuu (ada, chakula, mavazi, kodi, matibabu yake, material ya kusomea na urembo wote wa kike pamoja na hela za hapa na pale ilikua juu yangu), sitokaa nisahau nilivyo sota naye.

Siku kapata degree yake alikataa nisiende kwenye graduation yake huko Mwanza, ila mimi nikaforce kwenda, washa ndinga nikaanza safari mida ya jioni jioni hivi.

Nilibeba mazawadi kibao nikaenda zangu mwanza kwa nguvu kufika chuoni kwao nikamcheck mpenzi wangu kuwa nipo chuoni nimefika ila hakua na time na mimi kabisa, nikaona acha nikatulie kwenye ndinga nipige usingizi kuondoa uchovu maana usiku kucha nilikua na drive, huku nikijiambia moyoni labda shamra shamra zina mchanganya.

Baada ya mahafali kuisha hakuja kabisa usawa nilio muelekeza nilipo pack gari ili tuweke meza nimfanyie part kidogo akate hata keki na marafiki zake, nilikaa pale nikisubiri na mwishowe niliona watu wamepungua na mtoto hatokei nikasema ngoja nimpigie nimuulize vipi.

Aloooo .. hakuna siku nilijuta kama ile siku yani kupiga tuu kupokea akaniambia mimi sio type yake, nitafute type yangu nilihisi kama kupigwa na short ya umeme ndani ya moyo na mwili wote kufa ganzi, ubongo ulitingishika sana na kuona giza giza.

Nakumbuka sana Zawadi, keki kadhaa na vinywaji nilivyo kua nime vibeba kwaajili ya part yake ilibidi nijipendekeze kwenye meza nyingine kiume kiume ila niliangia meza ambayo haijachangamka na watu wake ni wastaarabu kidogo.

Niliona meza moja ndugu wakisherekea mahafali ya binti yao aliyehitimu na huyu mpenzi wangu nikasogea chapu nikatoa salamu, heri na hongera kwa binti kwa kumaliza chuo na jamaa walio kuwepo pale nikawapongeza pia, katika mazungumzo nikaona mzee mmoja mstaarabu sana katikati yao na ndiye aliye ni changamkia na kunikaribisha nilipo sogea pale, basi nikasema huyu huyu acha ni risk hapa nione itakuaje.

Nlimtoa yule mzee chemba kidogo nikamchana live yaliyo nikuta huku nikimwambi mimi ni kijana wako mzee wangu nimetoka mbali sana usiku kucha nikija huku kwenye mahafali, naomba mpokee vitu nilivyo kuja navyo vilikua ni kwaajili ya mpenzi wangu niliye msomesha ila kama ujuavyo mabinti ndiyo hivyo kaniacha leo leo na vitu hataki hatakuja hapa kwenye gari kuvichukua.

Tuliongea kiume sana kama baba na mwana huku nikimsii siwezi kutupa vitu na siwezi kurudi navyo. Mzee bila hiyana alinielewa na akanisetia mazingira pale kwenye meza yao kwa style aliyo weza yeye ila aliniambia nifanye kutoka kidogo kama nimeenda mahali alafu niwe kama ndiyo narudi. Aisee sijui alisetije yale mazingira ila ilikuwa ni heri sana.

Basi nilipo rudi pale nikasogeza ndinga nikashusha vile vitu waka vipokea kwa furaha nikamwachia binti yao ambaye hata siwajui kabisa huku moyo ukivuja damu sana ,nikawa mmoja wao na tafrija yao fupi iliisha nikachukua namba za yule mzee na kaka wa binti. Ila baadae nilikuja kupewa namba za yule binti na kaka yake kwa kigezo cha msalimie mdogo wangu ni muda sasa anakukumbuka sana akanitupia namba zake.

Mpaka naandika hapa ni marafiki zangu sana kwasasa tukishauriana mambo mbali mbali ya kimaisha na binti yao yule nilifanikiwa kumtafutia kazi ya sales kwenye kampuni moja (jina kapuni) huko Arusha na anaendelea poa sana na kazi zake na mwenye afya njema na furaha sana.

Nakumbuka ile siku Nilijuta sana kwa alicho nifanyia mpenzi wangu niliye mgaramikia sana ila baadae niliamuaga kujakumpotezea tuu na kuendelea na maisha yangu japo alitingishaga sana akili yangu na kuniachia jeraha zito moyoni.

Tena nakumbuka siku moja, nilikutana mjini na X wangu huyo aliyeniacha kwa dharau sana akiwa anatembeza matunda ya kukata kwenye vile videli.

Nilimsalimia bila hiyana akaniambia kwa uchungu huku akijiliza kuwa nimemwachia laana, akaniambia tena alikuja kuolewa ila aliachika baada ya kujifungua tu na sasa hivi ni single mother. Anaomba nimsamehe eti ni upumbavu wake tuu ulimponza pamoja na marafiki zake.

Nilimjibu mimi nilikusamehe tokea ile siku nimewasha gari na kuondoka zangu, hivyo sina ubaya nae. Nikang'oa zangu kiume mbele na harakati zangu.

Sasa hivi nipo na mawasiliano na yule mzee, kaka na binti yao aliye graduate na X wangu na kumpa yale mazawadi kwa niaba ya mpenzi wangu.

Binti yao anaonyesha kila dalili ya kunielewa ila sina hata wazo la kumfanya awe mpenzi wangu, nilimtafutia kazi ya sales inatosha, japo naona kabisa binti ananitengenezea mazingira nijiongeze ila najifanya kama sielewi somo lake kabisa.

Binti amekua akinijali sana kweli kweli, yaani anacare sana mpaka naona kabisa hapa anachotaka ni kuwa wapenzi na ikibidi ni muoe yeye maana anajua sina mke nipo nipo tuu kivyangu vyangu tokea nimepigwa tukio.

Ila sina lengo nae kabisa, kuna siku na mtania aolewe umri unaenda ananiambia sitaki kuolewa na mtu mwingine anataka ni muoe yeye. Nacheka zangu tuu basi kibishi natulia.

Nataka sasa ni msahau X wangu na akili yangu ipone maana kuna wakati nakumbuka sana hili tukio alilonipiga kiasi kwamba siamini wanawake kabisa.

Nifanyaje hapa akili ipoe na ianze upya.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app

Mzee unatuchanganya sasa, huu ugonjwa umepona???? Au ndiyo afya ya akili????????​

Naumwa sana nyonga na kiuno, Nisaidieni

Asante mkuu.. sawa Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
seee.gif
 
Pole sana Mkuu!!

Sijui ni kwanini tukiwajali sana wanawake wanakuja kufanya vitu vya ajabu sana!!

Sijui ni NINI HASA hawa viumbe Wana matatizo gani hawa!!

Nakushauri

HUYO BINTI ULIEMSAIDIA MUOE YEYE MKUU JUST YEYE TU!!

SISI WANAUME KWENYE KUOA HUWA TUNA BET TU MKUU!!YAANI HUWEZI JUA ULIE NAE ALIKUPENDEA NINI HADI PALE UTAKAPOPATA UDHAIFU FULANI NDIO UTAJUA KUMBE NI HIKI AU KILE!!!!...!!

MUOE HUYO MKUU LABDA NDIO CHAGUO LA MUNGU KWAKO!!!
 
Hi

Hivi Ma-X wote wakiachwa lazima wauze matunda au kuwa Mama Lishe na lazima wawe single mothers?

Au ni tungo hii?

Hakuna aliyeacha X, na huyo x akafanikiwa?
 
Pole sana Mkuu!!

Sijui ni kwanini tukiwajali sana wanawake wanakuja kufanya vitu vya ajabu sana!!

Sijui ni NINI HASA hawa viumbe Wana matatizo gani hawa!!

Nakushauri

HUYO BINTI ULIEMSAIDIA MUOE YEYE MKUU JUST YEYE TU!!

SISI WANAUME KWENYE KUOA HUWA TUNA BET TU MKUU!!YAANI HUWEZI JUA ULIE NAE ALIKUPENDEA NINI HADI PALE UTAKAPOPATA UDHAIFU FULANI NDIO UTAJUA KUMBE NI HIKI AU KILE!!!!...!!

MUOE HUYO MKUU LABDA NDIO CHAGUO LA MUNGU KWAKO!!!
Sawa mkuu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mzee unatuchanganya sasa, huu ugonjwa umepona???? Au ndiyo afya ya akili????????​

Naumwa sana nyonga na kiuno, Nisaidieni

Asante mkuu.. sawa Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Maisha yangu ni mchanganyiko wa mambo mengi sana, hivyo moyo wangu haujatulia. Yote nayoleta humu ni kweli na hitaji kukaa sawa niwe kama binadamu.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Aloooo .. hakuna siku nilijuta kama ile siku yani kupiga tuu kupokea akaniambia mimi sio type yake, nitafute type yangu nilihisi kama kupigwa na short ya umeme ndani ya moyo na mwili wote kufa ganzi, ubongo ulitingishika sana na kuona giza giza.
😃😃😃 Umepigwa shaba ya kichwa?
 
K
Japo imekaa kama hadithi ya kutunga ila oa huyo binti kama ametulia na si jinga jinga.
kifupi hu ni utunzi we binti umesomesha miaka yote hyo toka amemaliza chuo akaja akaolewa amezaa ameachika amechakaa anauza matunda miaka hii yote we bado upo tu stress na huku unampimia msales. Hamadi ukija kushtuka unasikia vtoto shkamoo babu!
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Hata kuweka bandiko hapa inaonyesha bado umemuweka moyoni mwako.

Jitahidi sana kumsahau na kutomuongelea kwa watu wengine pia.
 
Back
Top Bottom