Nahitaji kiwanja Kijichi

hillman

Senior Member
May 28, 2014
159
45
jamani yeyote mwenye connection ya jinsi gan naweza kupata kiwanja kijichi anipm
 
mkuu,

kuna kiwanja kijichi sqm 800 , kipo kama 3km kutoka baharini , kinauzwa 180m, kinasifa zote yaani hati nk.
mimi ni real estate agent so unaweza nichek kwenye 0657 14 55 55 tukaongea zaidi naitwa Thomas au akiri napatikana kinondoni A .

karibu .
 
Sijakuelewa! Kiwanja cha Sqm 800, kinauzwa Tzs.180m!!!!
 
mkuu,

kuna kiwanja kijichi sqm 800 , kipo kama 3km kutoka baharini , kinauzwa 180m, kinasifa zote yaani hati nk.
mimi ni real estate agent so unaweza nichek kwenye 0657 14 55 55 tukaongea zaidi naitwa Thomas au akiri napatikana kinondoni A .

karibu .

tutajenga kwa hali hii.
 
Natafuta kiwanja cha kujenga makazi ya kuishi.
Bajeti yangu ni Tsh. 15 milioni

Sifa za kiwanja.
1. Kiwe kimepimwa na kina hati miliki na kisiwe na mgogoro wowote.
2. Kiwe mahala ambapo watu wameshaanza kujenga na- kuna huduma za kijamii, kama, maji na umeme.
3. Kisipungue ukubwa wa sqm 1000.

Maeneo ninayopenda zaidi.
1. Tabata, Wazo hill, Pugu, Kigamboni, Kibada, Toangoma, Kimara, mbezi, chanika, Ukonga, Goba
Mbeni,na maeneo mengine mazuri.

Email yangu ni woowtv@live.co.uk

NB.
Ningefurahi kama ningepata cha ukubwa wa sqm 1200 au zaidi, ninaweza kuongeza pesa kama- nitalidhika na kiwanja na mahala kilipo.

ASANTENI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom