Nahitaji kitanda

kwadilo

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
756
894
Habari wana jukwaa,

Nahitaji kitanda cha foot 5 kwa foot 6
Mahali ni Dar
(Ikiwezekana kesho itakua vizuri zaidi)
Offer 100k
Kwa mwenye nacho nipe taarifa kupitia.

0785 857564
 
Habari wana jukwaa,

Nahitaji kitanda cha foot 5 kwa foot 6
Mahali ni Dar
(Ikiwezekana kesho itakua vizuri zaidi)
Offer 100k
Kwa mwenye nacho nipe taarifa kupitia.

0785 857564
nimeku pm kitanda na picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom