Nahitaji kijana wa kunifanyia Massage Nyumbani kwangu.

Kama kuna thread niliwahi kucheka peke angu, siikumbuki aisee!! Ila hii, nimeipendaje!? Thnx a lot Madame B.

Mamdenyi, you're warmly welcome, B keshapata wake, sitaki kupoteza muda kwako!!! Check me.
 
Muhusika hajapatikana, sema nimesitisha.
Naogopa mie...mtanisulubu.

Acha woga mtoto wa kike,mimi bado naitaka hiyo nafasi na kwa vile muhusika bado hajapatikana I DECLARE THIS THREAD CLOSED maana mimi ndio nitakupatia hiyo massage.
 
Acha woga mtoto wa kike,mimi bado naitaka hiyo nafasi na kwa vile muhusika bado hajapatikana I DECLARE THIS THREAD CLOSED maana mimi ndio nitakupatia hiyo massage.

Hahaha!
Pole kwa kuchelewa.
Ila kumbuka hata Mamndenyi nae anataka massage....
 
Last edited by a moderator:
@Kawambwa The Prof
nitakuja ila nitasindikizwa na mwanasiasa wangu
anza mazoezi ya boxing kwanza
kwani lolote laweza tokea hapo.

Kama kuna thread niliwahi kucheka peke angu, siikumbuki aisee!! Ila hii, nimeipendaje!? Thnx a lot Madame B.

Mamdenyi, you're warmly welcome, B keshapata wake, sitaki kupoteza muda kwako!!! Check me.
 
Hi, naitwa Ian km bado hujap m2 wa kukufanyia hyo k2 nichek mm ninacfa unazoziitaj nipo tbt dar, umri wangu miaka 26 namb yangu ni 0786 360 818, ajira zenyewe hamna bora hyo
 
hivi best kijana wa kike hafai kufanya hiyo kaazi?
mm naitaji nafasi hiyo au ilshajazwa na Nicas Mtei
Hello wadau, nahitaji kijana wa kunifanyia Massage nyumbani kwangu, umri kuanzia miaka 21 hadi 24.
Malipo kwa siku ni Tsh 20,000/=, na utakuja siku ya Jumatatu, Jumatano na Ijumaa. Mara 3 katika wiki

Vifaa vyote ninavyo.
Muda kuanzia saa 3asbh hadi 8mchana.

SIFA:
Awe msafi,
Awe na mwonekano unaovutia.
Awe na kucha ndefu kiasi na safi.
Mengineyo, atafahamu akifika.
Kwa alie serious na tayari ani-PM kuanzia muda huu
Asanteni,
Madame B.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom