Nahitaji kijana wa kunifanyia Massage Nyumbani kwangu.

Hello wadau, nahitaji kijana wa kunifanyia Massage nyumbani kwangu, umri kuanzia miaka 21 hadi 24.
Malipo kwa siku ni Tsh 20,000/=, na utakuja siku ya Jumatatu, Jumatano na Ijumaa. Mara 3 katika wiki

Vifaa vyote ninavyo.
Muda kuanzia saa 3asbh hadi 8mchana.

SIFA:
Awe msafi,
Awe na mwonekano unaovutia.
Awe na kucha ndefu kiasi na safi.
Mengineyo, atafahamu akifika.
Kwa alie serious na tayari ani-PM kuanzia muda huu
Asanteni,
Madame B.
Bibie.@Madame B itabidi tufunguwe ofisi ya masaji wewe ukandwe na wanaume mimi iwakande wanawake unasemaje bibie? na tuandike jina hili MziziMkavu Masaji mbona tutawapata wengi....

Last edited by a moderator:
Bibie.@Madame B itabidi tufunguwe ofisi ya masaji wewe ukandwe na wanaume mimi iwakande wanawake unasemaje bibie? na tuandike jina hili MziziMkavu Masaji mbona tutawapata wengi....

Unapenda e kuwakanda wanawake wa wenzako!
Wakati wake zako tunaumwa migongo kila siku.
Sitaki...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom