Nahitaji kiingereza cha KULWA NA DOTO

hata mimi

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
1,356
1,437
Nataka kujua kwa Kiingereza Kurwa (sina uhakika sijui ni Kulwa au Kurwa) anaitwaje na Doto naye anaitwaje
 
Kila lugha ina jinsi ya kujieleza, na si lazima Kila neno la Kiswahili liwe na tafsiri ile ile kwa lugha tofauti.
Mapacha kwa Kiingereza ni twins, Kurwa atatambulika kama the 1st (first) au the older, Doto, the 2nd (second), the younger.
Kwa Kiswahili Sina uhakika tunaitaaje waliozaliwa watatu (triplets), wanne (quadruplets) n.k. Ila wenzetu wana maneno ya kuwatambulisha kwa ujumla wao.
Na katika Kiingereza Kurwa au Doto, si jina rasmi la mtu, ataitwa Ally, Peter Halima n.k., Ila kwa WaTz ni kawaida kuwa ni jina rasmi.
 
Kama ulikuwa na nia ya kujua basi ndugu Auz, thread number 2 amekupa jibu zuri sana, zingatia
 
Fraternal twins

Two separate eggs (ova) are fertilised by two separate sperm, resulting in fraternal or 'dizygotic' (two-cell) twins. These babies will be no more alike than siblings born at separate times. The babies can be either the same sex or different sexes, with the odds roughly equal for each.
 
Back
Top Bottom