Nahitaji kampuni wanaoweka Aluminium doors

LadySwa

Member
Jan 25, 2009
77
6
Kama kuna mtu anajua kampuni wanaoweka Aluminium doors, windows vizuri na kwa bei nzuri pia kwa Dar .

Nipatie mawasiliano tafadhali natanguliza shukrani.
 
Last edited by a moderator:
Unaziweka wapi?na una average sq.metres ngapi? ni nyumba mpya au unatoa madirisha ya zamani na kuweka al.windows?
 
nyumba ni mpya iko Bunju ,madirisha karibu kumi kwa ukubwa tofauti ila vipimo sina hakika .
 
kama kuna mtu anajua kampuni wanaoweka Aluminium doors,windows vizuri na kwa bei nzuri pia kwa Dar nipatie kontakt tafadhali natanguliza shukrani.

LadySwa

Huyu kaka anaitwa Mala,aliniwekea aluminium windows kwenye nyumba yangu. Namba yake ni Voda ya 74-383019. Kuhusu price quotations, itategemea na ukubwa na wingi wa madirisha+milango yako.
Yupo Dar huyo kaka, kampuni yake nimesahau jina. Muulize kila kitu kabla ya kazi!..
 
Nawashukuru kwa mchango wenu.Mungu ibariki Tanzania,zibairi kazi zetu ,pia uyabariki mawazo yetu.
 
Kuna fundi mafundi wazuri na wanatreaceable record and of course reasonable price call 0713606777
 
ni nzuri kma una nunua ktk kampuni kuliku ku nunua kwa fundi wa barabarani...

uta pata guarantee na quality !

Sisi tuna deal kwnye Madirisha na Milango za sliding.... tunayo aina ya ALUMINIUM na aina ya UPVC !
 
ni nzuri kma una nunua ktk kampuni kuliku ku nunua kwa fundi wa barabarani...

uta pata guarantee na quality !

Sisi tuna deal kwnye Madirisha na Milango za sliding.... tunayo aina ya ALUMINIUM na aina ya UPVC !
mkuu naomba mawasiliano ya kampuni yeni ni sqm 61 za madirisha, nahitaji UPVC.. tuwasiliane chap
 
Umeshaweka tayar aluminium ? npo hapa kwa ujenz bora wa madirsha, milango, partition wasiriana nas sim no +255 654 069 041 kwa ujenz wenye uwakika popote ulipo tutakufikia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom