tandabui2021
JF-Expert Member
- Nov 5, 2021
- 3,120
- 5,376
Nahitaji guesti ya Bei nafuu Mbeya Mjini au Tunduma iwe tu mahali salama
Nenda pale Mtaa wa Rungwe music opposite na Soko la Sido Kuna guesti inaitwa Pajero Yan kwa 8000 unalala Mkuu lkn ungetaka lodge ningekuelekeza maeneo ya SowetoNahitaji guesti ya Bei nafuu mbeya mjini au tunduma iwe tu mahali salama
Utaiweza biashara hiyo? Ila kama ya kupanga chumba nenda Moravian Mbeya mtaa wa Jacaranda karibu na TBC na kituo kikuu cha mabasi, iko katikati ya jiji.Nahitaji guesti ya Bei nafuu mbeya mjini au tunduma iwe tu mahali salama
Mzee wapi hapo Echa lodge nn? Ndo mitaa ya home hiyoNimelala Jana maeneo flani hivi ya sai
Naijua ni pazuriKuna guest unaitwa Nyati ipo tunduma
Yeah huwa nikitoka huko nchi za kusini huwa napumzika hapo au white kabla sijaendelea kwenda kaskaziniNaijua ni pazuri