Nahitaji Gari - Toyota Voltz

Tembele

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
1,150
340
Nahitaji gari:

Aina: Toyota Voltz,

Rangi: Silver, Blue, Black ama nyingine yoyote ila sio nyeupe.

Bejeti yangu : Millioni Saba.

Iwe katika hali nzuri na iwe haidaiwi na TRA.

Kama unayo weka picha hapa na namba yako ya simu nikupigie tufanye biashara.
 
Vipi Nina allteza ya silver kama unahitaji nicheki kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom