Nahitaji fundi anayeweza kutengeneza zipu za sanduku

Oct 7, 2022
5
3
Habari wana jamvi,

Nahitaji kufahamu wapi naweza kupata fundi mwenye ujuzi wa kutengeneza zip za sanduku. Au kuweka zip mpya kwenye sanduku kubwa.

Kama kuna mwenye namba au maelekezo nitashkuru sana. Niko Dar es salaam.
 
Picha ya hilo sanduku
Muundo huu mkuu
american-tourister-laguage-bags-500x500.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom