Nahitaji elimu ya maxcom malipo na selcom malipo

msomso

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
464
152
Ndugu wana jamvi naombeni elimu kuhusu bei ya mashine hizi mbili selcom na maxcom malipo ,faida pamoja na hasara zake karibuni sana wadau
 
Kwa mwenye kufahamu ni kampuni ipi inatoa faida kubwa kwa mfanyabiasha anayetumia mashine hizi?? Mwenye uelewa anijulishe tafadhali
 
Sasa ivi awa selcom wapo vizuri ingawa max malipo wanalipia mpaka kodi za TRA. Lakini awa selcom wameongeza na huduma ya Electric post pay bills
 
kwa uelewa wa hapa na pale ni kuwa mashine hizi hutumika na mawakala wa huduma za malipo ambapo wateja watakuja kulipia huduma kama za Dstv, Kulusha vocha , kufanya malipo ya kodi za serikali kama za magari , pikipiki n.k. kuhusu faida zake hapa zinahusu miamala unayofanya kuna malipo yake.
 
Back
Top Bottom