habari wanajamii,
plz naitaji asali, ila sina uzoefu wa bei zake, mwenye kujua bei kwa lita na wapi asali nzuri inapatikana hapa dar, asante
hivi..asali mbichi ndio nini haswaa??nasikiaga tu ikisifiwaMkunwa niPM tuwasiliane mimi niko morogoro nna asali mbichi kutoka tabora
Nikuagizie Tabora..! Huwa naleta na kupeleka Nairobi.habari wanajamii,
plz naitaji asali, ila sina uzoefu wa bei zake, mwenye kujua bei kwa lita na wapi asali nzuri inapatikana hapa dar, asante