Nahitaj mashine ya kuangushia magogo na kuchana mbao iwe inatumia petrol na portable

Mr. Masasi

Member
May 12, 2011
53
4
Mwenye hyo mashine ya kuangushia magogo na kuchana mbao porini nahitaji bei ipo laki 9, awe yuko tayari kunipa mafunzo ya namna ya kuitumia yaani kukata magogo na mbao. Nawasilisha wa jf
 
Chainsaw...

sijui hapa Bongo inapatika wapi na kwa kiasi gani
ila waweza kununua online...

Husqvarna Chainsaws, Outdoor Power Equipment and Tree Care Supplies from Bailey's
Chainsaws @ Chain Saws Direct - Chain Saw Superstore - Chainsaws, Chainsaw, Chain Saws, Chain Saw for Sale, Chain Saw Dealer

nazijua aina tatu
kuna moja yakubonyeza tu
, nyingine
unavuta kamba kuanza (kama vile lawn mower)
na ya mwisho unazungusha kutoka zero mpaka
kwenye number moja (rahisi sana kutumia)

ukinunua mpya inakuja na instruction jinsi ya kutumia
kusafisah na utunzaji kwa ujumla......
 
Mwenye hyo mashine ya kuangushia magogo na kuchana mbao porini nahitaji bei ipo laki 9, awe yuko tayari kunipa mafunzo ya namna ya kuitumia yaani kukata magogo na mbao. Nawasilisha wa jf
Mkuu, Unapanga bei mwenyewe? Je ikiwa chini ya laki 9 hutaki? Angalia usianze kutuharibia misitu. Sheria ni kali siku hizi. Good luck.
 
Mkuu Mashine hizi kwa kiasi kikubwa zinapatikana Zanzibar kama vp niPM
 
Nenda hospitali ya Palestine Sinza karibu yake kuna msikiti sasa pale nyuma ya msikiti kuna wapemba wanauza vitu vilivyotumika niliona hizo mashine zipo zinatumia petroli wanauza laki tatu,ni misumeno ya minyororo,ila sijui kama unahitaji mikubwa au vipi,niliambiwa hiyo misumeno ni ya kukatia miti
 
Ahsanteni sna kwa msada wenu ila niko Tabora nyumbani, mana ya ku pm sijui labda unifahamishe na niambie bei wewe wazanzibar mi ntakuja dsm
 
Fanya utaratibu wa kuja dar uende mtaa wa morogoro, karibu na samora (mjini) kuna maduka mengi sana ya vifaa vya kilimo, misitu na pembejeo. Machine inayokufaa ni husgvarner Xp 272 bei ya mpya sh 1,350,000 taslimu. Achana na used zitakusumbua. Yangu ingekuwa haina kazi ningekuuzia, ila kaka mkulima hauzi jembe.
 
Sasa unafikiri Mbao zinatoka wapi? Serekali ina misitu yake ya mbao mikubwa sana na wapasua mbao wanapewa vibali maalumu kupasua mbao kwa mahitaji ya taifa, Na kuna wakulima wanapanda mashamba yao miti ya mbao pia....ndio maana mbao zinapatikana... Mbao ni zao kama mahindi tu mkuu miti inapandwa ikikomaa inavunwa...Maliasili wanasimamia zoezi zima na watu wanalipa kodi zote kama kawaida, pesa zinaenda kupanda misitu mingine, muda wake ukifika wanatoa tena vibali...na mzunguko unaendelea.
(Lets not criticise everything please!)
 
Mwenye huitaji na mashine iyo tuwasiliane bei ni maelewano nauza ni original......0714-414020
 
Mwenye hyo mashine ya kuangushia magogo na kuchana mbao porini nahitaji bei ipo laki 9, awe yuko tayari kunipa mafunzo ya namna ya kuitumia yaani kukata magogo na mbao. Nawasilisha wa jf
Ninayo yangu husqavarna 272 nimeitumia mwezi mmoja tu naiuza 899,000/= kama utakuwa interested ni pm ama email yangu highquality169@gmail.com
 
Nenda hospitali ya Palestine Sinza karibu yake kuna msikiti sasa pale nyuma ya msikiti kuna wapemba wanauza vitu vilivyotumika niliona hizo mashine zipo zinatumia petroli wanauza laki tatu,ni misumeno ya minyororo,ila sijui kama unahitaji mikubwa au vipi,niliambiwa hiyo misumeno ni ya kukatia miti

Napafahamu safi sana....nitaliunga huko....
 
Mwenye hyo mashine ya kuangushia magogo na kuchana mbao porini nahitaji bei ipo laki 9, awe yuko tayari kunipa mafunzo ya namna ya kuitumia yaani kukata magogo na mbao. Nawasilisha wa jf

we pumba vu umewahi hata kupanda mti wewe? ???
 
Fanya utaratibu wa kuja dar uende mtaa wa morogoro, karibu na samora (mjini) kuna maduka mengi sana ya vifaa vya kilimo, misitu na pembejeo. Machine inayokufaa ni husgvarner Xp 272 bei ya mpya sh 1,350,000 taslimu. Achana na used zitakusumbua. Yangu ingekuwa haina kazi ningekuuzia, ila kaka mkulima hauzi jembe.
Mdau naomba unisaidie,je hiyo aina ya mashine ni nzuri,nashukuru kwa maelekezo yako next week ntakwenda huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom