Nahisi nakataliwa na mabinti wazuri kisa nikitambulisha mimi mwalimu

Ualimu ni kazi kama kazi nyingine hao wanaokudharau hawana mapenzi ya kweli,kwao pesa ndio kipaumbele hata ukiwa nae jiandae kuumizwa tu,cha msingi vuta subira,muombe Mungu sana jiamini utapata mke mwema na mrembo.
Tangu nimalize chuo mwaka huu nimekuwa na dhamira ya kumtafuta binti mzuri ambaye atakuwa mke wangu pindi nitakapo ajiriwa. Sijafanikiwa kumpata licha ya kuwatongoza mabinti kadhaa na kukataliwa baada ya kuwaambia mi mwalimu. Je, nianze kuwadanganya japo mi nafsi itanisuta kusema uongo?
 
embu sitisha hata zoez la kutongoza kama hata mshahara hujaanza kuupata mana hawa watu bila pesa hawaendi
 
Tangu nimalize chuo mwaka huu nimekuwa na dhamira ya kumtafuta binti mzuri ambaye atakuwa mke wangu pindi nitakapo ajiriwa. Sijafanikiwa kumpata licha ya kuwatongoza mabinti kadhaa na kukataliwa baada ya kuwaambia mi mwalimu. Je, nianze kuwadanganya japo mi nafsi itanisuta kusema uongo?

sasa bado ujapata ata iyo kaz ikakueka nafhif kdogo.ualim co tatzo mbna.utampata tu usiwe na haraka
 
Tangu nimalize chuo mwaka huu nimekuwa na dhamira ya kumtafuta binti mzuri ambaye atakuwa mke wangu pindi nitakapo ajiriwa. Sijafanikiwa kumpata licha ya kuwatongoza mabinti kadhaa na kukataliwa baada ya kuwaambia mi mwalimu. Je, nianze kuwadanganya japo mi nafsi itanisuta kusema uongo?

je umeingalia sura yako isije unatafuta mwanamke mzuri huku wewe mbaya.
 
hiv hadi umemaliza chuo huna demu tuu, duuu!! mtafute mwanafunzi mwenzio mlomaliza nae chuo maana bado sio walimu, akikataa njoo kwangu ila mimi ni mbaya ila mpunga ninao wa kutosha
 
Nakutafuta sasa hv
 
Back
Top Bottom