Nafuta Kiwanja, Mbezi Beach, Kunduchi, Boko, Kawe, Kigamboni, Salasala and Mbweni

Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
945
Wana JF, mwana jamii mwenzenu natafuta kiwanja maeneo hayo niliyo yataja hapo juu includes Bunju.

Tafadhari nitumie msg kupitia inbox yangu kwamba kiwanja kiko wapi, kina ukubwa gani.

Hints, I need more than one plot, so advise me accordingly.

Nitumie namba ya simu na nitakupigia within 24 hours.

Asanteni sana.

Mtanganyika mwenzenu.
 
Mkuu bunju safi, wana Jamii kwenye hiyo list hapo ongeza Bunju. Shida ni eka moja, lakini naweza kununua nusu eka mbili sehemu tofauti.

Nashukuru kwa msaada wana JF wenzangu. so far, nimepewa namba ya dalali mmoja ambae amenipa website yake lakini hakuna kiwanja katika maeneo ninayo taka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom