Nafurahi Kujiunga n Jamiiforums

BabuT.

New Member
Dec 29, 2011
1
0
Ndugu WanaJF,
Nafurahi kuungana na nyinyi kwa mara ya kwanza! Michango mingi nimeisoma lakini sikuweza kuchangia. Sasa nitapata fursa ya kuchangia.Habari zenu popopte mlipo! Hapa Toronto poa kabisa.

"Wishing you all a wonderful and safe holiday season and may 2012 bring you love, health, happiness and wealth!" May God help us all reach our dreams! My dreams are to continue helping "sick children in Tanzania and to do whatever I can to help eliminate poverty in Tanzania and Africa at large."

May God bless us all!


BabuT.
 
Inngesubiri kidogo uwe member uliyejiunga 1/1/2012 kwa saa za bongo ..

Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
 
Eeh pitia hapo kwenye zuria njenkundu mpaka ndani.Nadhani umetuona roho yako imetulia.KARIBU SANA MKUU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom