Nafasi za kazi zoom zinaajiri kweli?

mean girl

Member
Feb 22, 2011
27
1
Ni miaka miwili sasa toka nilipoanza kuomba kazi zinazotangazwa kwenye tovuti ya zoom lakini mpaka hivi leo sijawahi kuona any positive results,naomba ushauri am about kukata tamaa kutembelea tovuti hii
 
Kilasiku naaply lakini no respond!!!!

Pole kijana,Ushauri wangu: Ukiona post kwao chukua details za wenye tangazo kisha tafuta means ya kutuma application yako,usitumie ile click to email yao,wengi wanalalamika juzi juzi kuna ndugu alipost namna alivyoikuta Cv ya mtu huko zoom ili kutumwa kwa hao waajiri ilikua mbaya uthibitisho wa hili tafuta post ya mtu humu ndani isemayo "Zoom mjirekebishe"...

But dont blame them(Zoom) maana wanasaidia si umesikia wengine wamewahi kuitwa pitia iyoiyo zoom,,Ombi:Zoom na nyie boresheni kidogo huduma yenu maana hayo malalamiko ni ya kweli kabisa.Thanks
God bless You all.
 
from what i believe ni kwamba HR ya kibongo na makampuni yote bora wawe hawawatamanishi unemployed people kuweka kazi ambazo washapata watu wao long time aiisee.........
 
kazi wanaita sana mbona nsha fanyaga maintaview ya kumwaga hadi nki amka usingizini naweza jielezea na nilisha pata kazi mbili zote thorough zoom,sema 85% Administration ya kizungu ndio haswa unakuta they need people ila administrattion za kibongo tayari watuu wanao au washa wekana hivyo walio apply hawapewi nafasi,

Kwa ujuzi wangu wa ku apply enzi hizo kiona tangazo limopostiwa na shugulika ,Pes apply hawa jamaa they have real office na kazi yao ni kutaftia makampuni watu nishaenda office zao shugulika opposite na barclays kinondoni barabara ya kama unaelekea posta,Pes wako rainbow ukipita kawe kuna njia ukipita tangi bovu kuna njia na mostly wazungu wanawatumia hawa jamaa interview zote nlizo apply kwa hawa majama wazungu ndio walikuwa wana piga interview,zingine labda awe ni mtu binafsi ame post ana kampuni yake anataka watu
shortly Zoom Tanzania is for real usi ache ku apply na usi chague kazi kama kuna kazi unaweza piga just apply .
 
kuchagua kazi ndo kitu cha mwisho kwangu,maybe kweli kampuni za wadhungu ndo zina HR za kuaminika the rest ni pasua kichwa na hopes za kufa mtu
 
Ni miaka miwili sasa toka nilipoanza kuomba kazi zinazotangazwa kwenye tovuti ya zoom lakini mpaka hivi leo sijawahi kuona any positive results,naomba ushauri am about kukata tamaa kutembelea tovuti hii

Pole sana, endelea kuomba iko siku utapata.
 
Pole, labda uko mean sana...lol.\Otherwise endelea kutuma maombi ipo siku utafanikiwa. Unaweza pia jisajili brightermonday.com.
Kila la kheri
 
Pole, labda uko mean sana...lol.\Otherwise endelea kutuma maombi ipo siku utafanikiwa. Unaweza pia jisajili brightermonday.com.
Kila la kheri
lol kaka hilo jina la mean girl was only kupata registration jamii forums coz jina langu na ninayoyajua yote used humu,ila thanks kwa kunipa moyo,mungu ndo mwenye kupanga
 
Pole kijana,Ushauri wangu: Ukiona post kwao chukua details za wenye tangazo kisha tafuta means ya kutuma application yako,usitumie ile click to email yao,wengi wanalalamika juzi juzi kuna ndugu alipost namna alivyoikuta Cv ya mtu huko zoom ili kutumwa kwa hao waajiri ilikua mbaya uthibitisho wa hili tafuta post ya mtu humu ndani isemayo "Zoom mjirekebishe"...

But dont blame them(Zoom) maana wanasaidia si umesikia wengine wamewahi kuitwa pitia iyoiyo zoom,,Ombi:Zoom na nyie boresheni kidogo huduma yenu maana hayo malalamiko ni ya kweli kabisa.Thanks
God bless You all.
ulichosema ni sahihi 100%, inabidi kujua namna ya kutumia application, otherwise nimeona application nyingi zikipitia ZOOM kwenda kwa email ya advertiser (employer) ikiwa haina CV wala application letter. So it is very critical kuzingatia mchangiaji wa hapo juu.
mfano mzuri ni huu hapa chini ikionyesha kuwa hakuna cha CV wala cover letter iliyomfikia mwajiri

An inquiry regarding your listing on ZoomTanzania.com for xyz
Listing ID: 6965 - xyzThis inquiry was sent from deogratias@yahoo.com. To reply to this inquiry, simply "Reply" as you would any other email and it will be addressed to the correct email address.
May I submit may application to you. Thanks for considering me
Brought to you by your friends at www.ZoomTanzania.com.
 
Wakuu sina imani kabisa na zoom nimetuma apllication zaidi ya 20 since march mpaka sasa sijapata any responce na kazi nyingi nilizo-apply nimevuka viwango.....@ i do support!!!
 
Wakuu sina imani kabisa na zoom nimetuma apllication zaidi ya 20 since march mpaka sasa sijapata any responce na kazi nyingi nilizo-apply nimevuka viwango.....@ i do support!!!

Kupika majungu ni rahisi zaidi kuliko hata kupika ugali @by Bishop zachary kakobe 22.07.2012
 
Ni miaka miwili sasa toka nilipoanza kuomba kazi zinazotangazwa kwenye tovuti ya zoom lakini mpaka hivi leo sijawahi kuona any positive results,naomba ushauri am about kukata tamaa kutembelea tovuti hii

mimi nilishaitwa kama mbili moka ikiwa ya UNCTAD
 
Truly speaking, enzi natafuta kazi zoom ilinifanya nijione nina kasoro coz I never missed to apply, 42nately I never heard them back. But now, Goodluck to u all.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom