Nafasi za kazi zipo...

Aug 17, 2016
73
39
Tuna nafasi mpya za kazi, tembelea tovuti yetu kwa maelezo zaidi. Tovuti yetu ni CVPeople africa, kisha bonyeza tanzaniajobs angalia kazi uliyo na vigezo nayo kisha APPLY

CVPEOPLE AFRICA TANZANIA NI WAKALA NAMBARI MOJA WA AJIRA AFRICA NZIMA. IKIWA NA UMRI ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI. NI WAKATI WAKO SASA KUJISAJILI NASI BURE KUPITIA TOVUTI YETU .NA KUWEZA KUCHAGUA AJIRA UIPENDAYO. CVPEOPLE AFRICA HAITOZI JOBSEEKER GHARAMA YOYOTE. EPUKA MATAPELI.
 
Sasa mnawatafutia watu kaz au inakuaje hii cv people tueleweshe kidogo kwa tusiojua
 
Sisi tunawatafutia kampuni wafanyakazi. yaani wakala wa ajira. Kampuni hutupa kazi kisha sisi tunakwenda kutafuta wafanyakazi watakaofaa kwa nafasi tuliyopewa. Utaitwa kwenye interview ya kwanza hii ni kwetu, kisha ukipita wapelekwa kwa mwajiri kwa ajili ya interview ya pili. Na baada ya hapo mwajiri akikuchukua kampuni hiyo italipia gharama za huduma. IKUMBUKWE WEWE KAMA UNAYETAFUTA AJIRA HUTATOZWA GHARAMA YOYOTE.
 
Sasa mfano mimi dereva nafaa kutafutiwa kazi? Na vigezo vpoje. Ofisi zenu zipo wap?
 
Matapeli nyie.... Nyie na ZoomTanzania hamna tofauti
Sisi sio matapeli naomba ieeweke hivyo. Na utofauti wetu na zoom Tanzania ni hivi. Zoom Tanzania ni job portal kule kila kampuni ama mtu huweza kutuma nafasi mbali mbali za kazi walizonazo. Lakini sisi ni recruitment agency kampuni inayojitegemea. waweza kupitia website yetu kwa maelezo zaidi. au fika katika ofisi zetu ili uweze kutuelewa vyema, Una haki ya kuwa na wasiwasi. karibu tutakufa taarifa kamili.
 
Back
Top Bottom