Nafasi za kazi Utumishi

KIFALU

Member
Mar 13, 2014
99
15
Jamani naombeni mcheki attached documents kunanafasi kibao serikalini pia naombeni ushauli mfano nafasi ya kazi inataka mtu mwenye diploma alaf wew una degree je unaweza omba?
 

Attachments

  • TANGAZO_NOVEMBER_13-2014.pdf
    264.6 KB · Views: 990
  • Tangazo_la_kazi_13_Nov_2014.pdf
    172.3 KB · Views: 733
Ukiomba kazi ya mtu wa diploma wala hutoitwa labda kama wamesema wanataka diploma na kuendelea
 
Kama wamesema diploma na hyo kitu wewe hauna bali unayo degree au masters n.k ndugu yangu usipoteze muda na kuharibu hela ya stempu mara bahasha ya kaki bila kusahau photocopy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom