Nafasi za Kazi - Utumishi

itagata

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
209
71
Wana JF hebu jaribuni kufungua hii attachment kuna nafasi za kazi zimetolewa na Utumishi
 

Attachments

  • TANGAZO LA KAZI - 22 Februari 2012.pdf
    203.5 KB · Views: 1,353
Wana JF hebu jaribuni kufungua hii attachment kuna nafasi za kazi zimetolewa na Utumishi

[/QUOTE]1.3 AFISA UGAVI DARAJA LA II (SUPPLIES GRADE II) – NAFASI 1
Nafasi hii ni kwa ajili ya Wizara ya Mambo ya Ndani
1.3.1 MAJUKUMU YA KAZI
 Kukusanya takwimu za kusaidia kutayarishwa makisio ya vifaa vinavyohitajika (Material Requirement Budget) na Mpango wa Ununuzi (Procurement Plan).
 Kukusanya na kutunza takwimu za utendaji za Wazabuni mbalimbali.
 Kukusanya na kutunza takwimu za upokeaji, utunzaji, na usambazaji wa vifaa.
 Kusimamia utunzaji wa maghala na hati/kumbukumbu ya vifaa vilivyomo ghalani.
 Kusimamia upokeaji, utunzaji na usambazaji wa vifaa (Physical Distribution).
 Mfumo wa uwekaji na utunzaji wa vifaa ghalani (Location Index Design).
 Kusimamia ukaguzi wa kuhesabu vifaa mara kwa mara (Perpetual Stock Checking) ghalani.
3
 Kutayarisha Taarifa za kazi katika vipindi maalumu.
 Kuhesabu na kutoa taarifa ya thamani ya vifaa vilivyomo ghalani kila mwisho wa mwaka (Annual Stock Taking).
 Kufanya kazi zingine ambazo atapangiwa.
1.3.2 SIFA ZA MWOMBAJI
 Kuajiriwa wenye Shahada ya Biashara (B.Comm) yenye mchepuo wa ugavi au Stashahada ya Juu ya Ugavi (Advanced Diploma in Materials Management) inayotolewa na Chuo kinachotambuliwa na Bodi ya Taifa ya usimamizi wa Vifaa.
1.3.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.[/QUOTE]

Siye tusio na vimemo tutapita kweli?
 
Back
Top Bottom