Nafasi za kazi utumishi mahakama

Mkuu kwa hiyo haina haja ya kwenda kumtafuta alipo huyo katibu tawala, ila unatafuta address yake tu ili uandike KUPITIA KWA, au ni lazima ukaonane nae face to face?
Mi nilishaomba raundi ya kwanza
Barua unapeleka Posta ila anuani inakuwa "kupitia kwa "
Angalia mfano

Tume ya UM
SLP xxxx
DSM

K.k
Katibu Tawala
SLP xxx
Dsm

Haumtafuti huyo katibu tawala direct
Nadhani umeelewa ndugu
 
Lazima aipitishe kwa kusaini... Hivyo lazima uende ofisini kwake
Na barua nitakayoiandika lazima iwe na anwani mbili c ndio, ya katibu wa tume ya utumishi wa mahakama na ya huyo katibu tawala wa wilaya, ili kuonesha ile KUPITIA KWA, Yaani
Katibu Mkuu
S.L.P 0
KK.
Katibu tawala
S.L.P 1

Au ile sahihi yake na mhuri vitatosha kuonesha kwamba imepitia kwake.
 
Mi nilishaomba raundi ya kwanza
Barua unapeleka Posta ila anuani inakuwa "kupitia kwa "
Angalia mfano

Tume ya UM
SLP xxxx
DSM

K.k
Katibu Tawala
SLP xxx
Dsm

Haumtafuti huyo katibu tawala direct
Nadhani umeelewa ndugu
Nafikiri nimekupata vyema Mkuu, na anwani ya ndani inatakiwa ikae nje yaani juu ya bahasha vile vile kama ilivyo ndani. Na vipi ulivyotumia hii walikuita usaili?
 
Ndio niliitwa usaili but nilichelewa kupata taarifa na mambo yalibana na tuliitwa wengi hivyo nikapotezea
 
MEREJESHO mi nimeenda kwa katibu tawala kasain na kaweka muhuli kwenye barua yangu. japo baadhi ya wachangiaji wana mtazamo tofauti imenipa shida kidogo ikabidi niende kuhakikisha uko uko ofisin kwake
 
Njia zote sawa
Ni uamuzi wako
Sio mbaya
 
MEREJESHO mi nimeenda kwa katibu tawala kasain na kaweka muhuli kwenye barua yangu. japo baadhi ya wachangiaji wana mtazamo tofauti imenipa shida kidogo ikabidi niende kuhakikisha uko uko ofisin kwake
Mkuu kwahiyo lile swala la anuani yake kuwepo kwenye barua yako ya kazi halipo, yaani ile kupitia kwa? Maana si unakuwa umeipitisha kwake tayari, au barua yako uliiandikaje? Na mhuri kagonga kwenye barua tu au mpaka kwenye vyeti?
 
Anuani ni km mfano wangu hapo juu kimsingi kumfuata ofisini ni kupoteza muda.....barua ukituma Posta itafika kwa Katibu Tawala halafu ataifungua na kuipitia kisha ataipeleka Utumishi wa Mahakama yeye
Kama yupo maeneo ya karibu mpelekee
 
"""Ufupisho wa taarifa za mwombaji (01)"" kwenye hilo tangazo nimeona hiyo (01) inamaana CV iwe na karatasi moja tu au barua ya maombi iwe moja msaada hapo ili tuweze kwenda kufuta meza na kuwahudumia mahakimu huku tukisikilizia watu kwa mbaaali wakila mvua
 
Anuani ni km mfano wangu hapo juu kimsingi kumfuata ofisini ni kupoteza muda.....barua ukituma Posta itafika kwa Katibu Tawala halafu ataifungua na kuipitia kisha ataipeleka Utumishi wa Mahakama yeye
Kama yupo maeneo ya karibu mpelekee
ACHA KUPOTOSHA
BArua inaandikwa hivi...

anuani yako upande Wa kulia

uache. ukilaza
s.l.p 6282993
Dodoma
2/7/2016
then upande Wa kushoto andika anuani ya tume ikifatiwa na anuani ya katibu tawala

like this...

tume ya mahakama
s.l.p 638939392929
DSM

k.k
katibu tawala
Wilaya temeke
SLP 29376282
temeke
DSM

Yah:
sfgghgghhhg

karibu tawala ataigonga mhuri barua yako then unafunga bahasha yako na kuandika juu ya bahasha anuani ya tume

na nyuma ya bahasha andika post unayoomba

acheni ukilaza
 
Safi! Chukua Like! Umesikia na wewe Bitoz
 
Sawa Genius mfoji vyeti
Bora sisi vilaza

Sina mabishano na mtu ...
Lengo ni "kusaidiana" wala sihitaji ligi
Ninachojua mimi nimemaliza kuelezea
Wajuzi waendelee
 
Mkuu kwahiyo lile swala la anuani yake kuwepo kwenye barua yako ya kazi halipo, yaani ile kupitia kwa? Maana si unakuwa umeipitisha kwake tayari, au barua yako uliiandikaje? Na mhuri kagonga kwenye barua tu au mpaka kwenye vyeti?

Ndugu barua yangu ndo kagonga muhuri na anuani yake K.K lazima uandike katika barua yako , hivi umejiuliza swali katika tangazo " Waombaji walio katika utumishi wa umma wapitishe Maombi yao kwa waajiri wa sasa" inamaana wanataka uthibitisho kwa sisi ambao hatuja ajiri kwenye utumishi wa umma inabidi tupeleke kwa katibu tawala wa wilaya
 
asante mkuu umetufungua wengi
 
ACHA KUPOTOSHA
BArua inaandikwa hivi...

anuani yako upande Wa kulia

uache. ukilaza
s.l.p 6282993
Dodoma
2/7/2016
then upande Wa kushoto andika anuani ya tume ikifatiwa na anuani ya katibu tawala

like this...

tume ya mahakama
s.l.p 638939392929
DSM

k.k
katibu tawala
Wilaya temeke
SLP 29376282
temeke
DSM

Yah:
sfgghgghhhg

karibu tawala ataigonga mhuri barua yako then unafunga bahasha yako na kuandika juu ya bahasha anuani ya tume

na nyuma ya bahasha andika post unayoomba

acheni ukilaza
Ubarikiwe mkuu
 
MEREJESHO mi nimeenda kwa katibu tawala kasain na kaweka muhuli kwenye barua yangu. japo baadhi ya wachangiaji wana mtazamo tofauti imenipa shida kidogo ikabidi niende kuhakikisha uko uko ofisin kwake

samahani barua umeaandika kwa kiswahili au kingereza?
 
Back
Top Bottom