Nafasi za kazi NMB

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
59,410
119,115
Bank Tellers Jobs at NMB Eastern Zone (Morogoro and Coast regions) - Jan 2015

NMB Plc rely on your commitment to achieve its vision and mission of being the preferred Financial Service Partner in Tanzania through
innovative distribution, and extensive Branch Network and offering affordable customer focused financial Services to the Tanzanian Community in order to realize sustainable benefits for all Stakeholders.

We are therefore seeking to recruit high caliber, skilled, motivated, result-oriented and self- driven candidates with high integrity to fill the positions of Bank Tellers in Eastern Zone (Morogoro and Coast regions ) Job Purpose and Summary Reporting to Branch/Customer Service/Back Office Manager, Bank Teller will be responsible for collecting deposits in the form of cash and cheques and to pay out cash to customers promptly and efficiently.

Specific Duties and Responsibilities will be to:
• Ensure that daily cash summaries are checked and day's cash transactions are properly in line with set performance targets.
• Count cash deposited (accurately) and ensure that it is correctly entered in the computer system or manual ledger.
• Ensure that cash, withdrawal form or cheques presented are always paid to customers strictly in line with established procedures.
• Ensure that collected cash calculations are correct, and withdrawal forms and cheques presented are accuracy.
• Manage the supply of cash by ensuring withdrawing cash from the strong room at the start of the business and ensure that it is deposited back in the strong room at the end of the business.
• Attend customers' queries, fast, with confidence whenever asked.
• Up and cross sell NMB Plc products.
• Seek approval from supervisor on payments that exceed his/her specified limit
• Report any fraudulent behaviour to the supervisor.
• Ensure that government cheque and other cheques presented by customers to the supervisor for special clearance with BOT or other banks are timely attended.
• Perform other duties as directed or assigned by his/her superior. Qualifications, Knowledge and Skills:
• Must be a holder of University degree/ advanced diploma or
• Diploma holder (with two years working experience) in bank related fields from recognized university/college.
• Computer literate with skills in Word- processing and Spreadsheets.
• Able to display a high level of attention to details and skills in interviewing clients to assess their integrity.
• Able to communicate very well in both English and Kiswahili.
• Creative, innovative and honest
• Able and willing to work in challenging environments.
• Able to work under pressure with minimum supervision

Important General Information to interested Applicants:

How to Apply:

If you are interested please submit the following:

• A handwritten application letter duly signed, briefly explaining why you are interested in the position
• CERTIFIED relevant copies of your certificates/testimonials (Final university/ college certificate, transcript, Ordinary & Advanced level academic certificates and birth certificate).
• A detailed and signed CV, showing clearly your competencies and skills, full address at work or at home including telephone /fax, mobile phone and email address.
• A list of three reliable referees (must be your lecturer, academic supervisor, Dean or supervisor on work related and Not friend/ relatives) with their full addresses including post address, current email, telephone, fax and mobile phone numbers.

CLOSING DATE: 13th January, 2015 at 4:00 pm
"NMB PLC IS AN EQUAL OPPORTUNITY EMPLOYER"

Send your application letter to the Human Resources Business Partner, ONLY via specified address hereunder:

Human Resources Business Partner​
NMB Plc Eastern Zone,​
P. O. Box 1066,​
Morogoro.
 
Natamani kuomba lakini moyo unasita maana nina mwaka wa tatu naomba kwenye hii bank sijawahi kuitwa wala kusikia wanafanya interview zaidi zaidi nasikia fulani kapata nmb kapataje sjui! labda mleta uzi nisaidie kuhusu vigezo haswa vinavyoangaliwa kabla wajamwita mtu ili nijaribu kuvifanyia kazi kabla sijatuma maombi!
 
Hakuna kukata tamaa ktk haya maisha ila kuna wakati yataka moyo. Kwa NMB ni uongo kusema utapata nafasi kama hufahamiani na mtu. Kwanza nafasi kama hizo tayari washaita ndugu zao. Nina uzoefu na hili ninalolisema. Japo maneno yangu sio sheria. Na siku zote hutakiwi kukata tamaa mpaka upate. Kwahiyo endelea kuomba.
 
Natamani kuomba lakini moyo unasita maana nina mwaka wa tatu naomba kwenye hii bank sijawahi kuitwa wala kusikia wanafanya interview zaidi zaidi nasikia fulani kapata nmb kapataje sjui! labda mleta uzi nisaidie kuhusu vigezo haswa vinavyoangaliwa kabla wajamwita mtu ili nijaribu kuvifanyia kazi kabla sijatuma maombi!

Hakuna kukata tamaa ktk haya maisha ila kuna wakati yataka moyo. Kwa NMB ni uongo kusema utapata nafasi kama hufahamiani na mtu. Kwanza nafasi kama hizo tayari washaita ndugu zao. Nina uzoefu na hili ninalolisema. Japo maneno yangu sio sheria. Na siku zote hutakiwi kukata tamaa mpaka upate. Kwahiyo endelea kuomba.

Mmmh wakuu mbona mwantisha...
 
omba sasa hivi hr amebadilika. amekuja jamaa mwingine.

Usisahau sehemu yoyote kama kuna tabia flani inakua imejengeka ndani ya system yote. kwahiyo hata mmoja akiondolewa bado wengine wapo vile vile. Kwahiyo ukija lzm ufate utaratibu.
 
Mi bado nasoma jaman nauliza tu

Hahahaaaa!! Pole sana, ni kuthibitisha uhalisia kisheria!! Nakala ya cheti hupigwa muhuri wa kisheria kuthibitisha kuwa hiyo nakala ni yenyewe kutoka kwenye cheti halisia.
 
Mtu anapouliza anahitaji kujua. Na sisi tunajifunza kila siku. Unapomshangaa mwenzio kwamba hajui kitu flani. Elewa kwamba kuna kitu au vitu nawewe hujui. Kuna profesa kabisa alikua hapendi umpe kazi kwenye soft copy kwasababu kuiwekea comments kwa soft copy hajui. Je huyo nae utasemaje?

But all in all ku certify ni kuthibitisha kwa njia ya mahakama. Unachotakiwa kufanya ni kuvipeleka vipigwe muhuri na saini. Ndo ku certify.

Asante sana
 
Mmmh wakuu mbona mwantisha...

Sikutishi mkuu nimeomba sana mimi hata southern zone ambako najua watu hawapendi kuenda lakn sjawahi kuitwa najiuliza sielewi ni kwanini maana binafsi kilicho nivutia kusoma masomo toka olevel ni ile kupenda sana kufanya kazi kwenye sekta za bank na tra lakini mambo ndivyo sivyo tra nimeitwa kama mara2 kwa awamu zote nilizoomba lakin nako majanga EEE MOLA NISAIDIE MIMI NCHI YETU INAUNDUGU SANA NA MIMI SINA NDUGU ALIYEKWENYE NAFASI NZURI NI WEWE PEKEE MUNGU WANGU NIFANYIE NJIA PASIPO NJIA.
 
Sikutishi mkuu nimeomba sana mimi hata southern zone ambako najua watu hawapendi kuenda lakn sjawahi kuitwa najiuliza sielewi ni kwanini maana binafsi kilicho nivutia kusoma masomo toka olevel ni ile kupenda sana kufanya kazi kwenye sekta za bank na tra lakini mambo ndivyo sivyo tra nimeitwa kama mara2 kwa awamu zote nilizoomba lakin nako majanga EEE MOLA NISAIDIE MIMI NCHI YETU INAUNDUGU SANA NA MIMI SINA NDUGU ALIYEKWENYE NAFASI NZURI NI WEWE PEKEE MUNGU WANGU NIFANYIE NJIA PASIPO NJIA.

Daaah pole mkuu lakini usikate tamaa omba safari hii hakika Mungu atakuwa upande wako....we omba.
 
mmh, ngoja nijiweke pembeni maana sina ht anaenijua huko. ndio kwanza mm anaenijua ni jembe, jembe nae anasema hali ya hewa ni mbaya hivyo huenda nae badae asinijue tena.
 
Jaman kucertify ndo inakuwaje ?

Kucertify mkuu ni kwenda mahakamani au kwa wakili kuthibitisha kama copy za vyeti vyako ni copy za vyeti halisi,so atagonga muhuri wake na atatia saini,hapo zoezi la kucertify litakuwa limekamilika,then unaenda kuvituma,huko kucertify kuna gharama zake,mara nyingi mahakimu wa serikali hawana gharama kama binafsi,kila la kheri mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom