Nafasi za kazi- kipato cha haraka

miettu

Member
Sep 12, 2012
25
0
Natafuta sales person wa kunitafutia wateja wa TRA EFDs machines. Sisi ni Suppliers wa BOLSTO SOLUTIONS LTD, MOSHI na pia tunatoa huduma arusha. Commission ni 20,000 kwa kila mashine. Tukumbuke kuanzia tarehe 1/9/2013 ni lazima kila mfanya biashara anayeuza zaidi ya 40,000 kwa siku au million 14 kwa mwana awe na efd mashine za kutolea risiti za TRA. kwa hiyo soko ni la uhakika. Mimi pia ni approved EFD Technician by TRA, kwa bolsto Moshi, ni mimi peke yangu.

Kwa wanaotaka mashine, zipo bei ni 800,000/= (bei standard ya TRA ambayo utakuja kurudishiwa) pia wateja wetu wanaweza pata mkopo toka equity bank wa kununulia mashine, harakisha kabla foleni hazijaanza mwezi ujao.

Pia kwa wamikoani, tunaweza wasiliana nikawaelekeza nani wa kumuona kwenye branch zetu huko upate commissions au service za haraka.


0758-717754 Chacha
 
ukishapata mteja nipigie, ofisi zipo opposite na kituo cha polisi na kituo cha tren kamata, pale kariakoo, utaona ofisi zina mabango ya BOLSTO SOLUTIONS LTD, Tupo ghorofa ya kwanza. kabla ya kwenda nipigie nikuambie uonane na nani ili uweze kupata commissioon. Ukienda mwenyewe straight utakua unaenda kama mteja anayetaka kununua mashine, huto pata commission.
 
kulipa kwa awamu inawezekana, Pia mtu anaweza pata mkopo wa kununulia mashine toka Equity bank.
 
Nadhani kama utakuwa na kipeperushi au document yeyote inayonitambulisha kwa mteja kuwa natoka kampuni yako na ninahitaji kumwelewesha hizo mashine ni kitu gani na kwamba anatakiwa kuwa nazo (kununua) ingesaidia, lakini kwenda tu kichwa kichwa kwa mteja itakuwa ngumu kidogo.
 
Back
Top Bottom