kama una vigezo applySisi tuliopitia mgambo mbona hamtujali ila kwenye kukamata walevi ndo mnajidai kutuita kisa mnaogopa manundu hii haipo sawa
Awe na ufaulu wa div 4 au 3 tuu sasa Kwa wale wenye div 1 na 2 hawatakiwi au inakuwajeJeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi somaView attachment 1897057View attachment 1897058
Tuta elewana, kazi iendelee...Awe na ufaulu wa div 4 au 3 tuu sasa Kwa wale wenye div 1 na 2 hawatakiwi au inakuwaje
kama una vigezo apply
Nafasi zipo kiongozi au mpaka connectionkama una vigezo apply
Uende ukawasumbue kwa kureason?!Awe na ufaulu wa div 4 au 3 tuu sasa Kwa wale wenye div 1 na 2 hawatakiwi au inakuwaje
Naamini vijana wa CHADEMA hawataomba maana kila siku wanasema polisi ni kazi ya laana na hawaipendi kupindukia.Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi somaView attachment 1897057View attachment 1897058
Si ndo hapo sasa man, sijaelewa mantiki yake hapa? Kwamba hawataki vijana wenye ufaulu wa juu huko polisi amaJeshi la polisi halitaki walio na akili ndo mana linataka waliopata div 4 ya 28 mpaka 32