Nafasi za kazi bot

Nimeipenda hii.......! Vijana changamka!


Working Experience

•
[FONT=GFMGPG+BookAntiqua,Book Antiqua]Fresh Graduates from accredited Universities; [/FONT]
[FONT=GFMGPG+BookAntiqua,Book Antiqua][/FONT]
 
Mh kwenye vi EPA changamukieni bana baada ya kuajiriwa titamiona Rost tamu tuh tuh
 
Kwa mara ya kwanza nimeona wanasema Hawahitaji work experience maana matangazo mengi kila kazi wanasema uzoefu mika 5 .....Wenye sifa jaribuni jamni.
 
jamani mbona hii website kimeo haifunguki ati,
aaaaarrrrrgggghhhhhhh.
 
Hapa kuna kaharufu ka zengwe. Yaani niwe na First Class au Upper Second ili iweje? Naenda kufundisha? Halafu unataka mtu awe na ma-degree na maCPA sijui mivyeti gani hiyo halafu niwe na experience isiyopungua miaka 2 na niwe below 30!?

Naona kuna watu wameshapangwa hapa..lol..Nchi ya kifalume..
 
Thanx mleta post
wenye sifa changamkieni

jamani siku hizi unaweza kwenda kufanya entervies sehemu ,lakini zile nafasi zina watu tayari
inachekesha
 
Thanx mleta post
wenye sifa changamkieni

jamani siku hizi unaweza kwenda kufanya entervies sehemu ,lakini zile nafasi zina watu tayari
inachekesha

Kama wazazi wako si vigogo na si fisadis usipoteze muda wako kupeleka maombi yako!
 
Tuache mambo ya hearsay wakubwa, mbona watu wanaomba vibarua hivyo na wanapata hata bila Zengwe la kihivyo....yes, inawezekana kuna watu wameshapata mizengwe hiyo lakini si kweli kuwa kazi zote za serikalini zina zengwe....si kweli!

Mi binafsi, sina hata balozi wa mtaa ndugu yangu....nishaombaga kazi nyingi serikalini, kuna baadhi nilikosa na nyingine nikapata...mfano nilipata pale TRA, Economic Empowerment Council, Tanesco (hapa kidogo palikuwa kazengwe),Kule magogoni-Utumishi, Hazina........! Hizi sehemu nilizopata naamini ni kwa sababu ya sifa nilizokuwa nazo na si vinginevyo, na huko nilikokosa naamini kulikuwa na ushindani na nilishindwa kwa kuwa kulikuwa na watu wengine waliokuwa na sifa zaidi ya mimi.

Hata huko BOT mbona kuna washikaji kibao wanaomba kazi pale from UD, IFM etc na wanapata?

Kabla hatuja lalamika eti, kuna upendeleo or sijui wameshapata watu, wewe unayetaka nafasi iliyotangazwa jiulize kwanza una sifa wanazotaka? je, Una First au Second Class from Accredated university? una age below 30yrs if yes, omba hiyo job....then ukikosa njoo utwambie umekosa, na ufanye uchunguzi wale waliopata wanasifa gani, then tunaweza kuwa na hoja ya upendeleo/rushwa etc!
 
ni tanzania tu ambako kuna na age discrimination katika ajira, nchi za wajanja bot wangeshitakiwa. kwanini ubague umri? kama niko 45 nina sifa zote nyingine, ni haki kuwekwa kando? upumbavu ndiyo maradhi yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom