Nafasi za Kazi 333 kutoka Mamlaka ya Bandari Tanzania

wakuu nataka kuomba nafasi ya OFFICE ATTENDANT nina diploma ya business administration , je wanaweza kuni-consider kwel? hata kama sina hcho cheti kutoka veta cha cleaner? maana kukaa kaa tu bila kazi siyo asee!.

msaada kwa anaejua
Omba TSN wametangaza kazi ya Level yako Boss.
 
Hawa banadari wamenikaa, wao wanataka mtu mwenye certificate ila mimi nina bachelor nikajua watakubali ombi langu unfortunately online system imekataa.
Screenshot_20190410-172105.jpeg
 
MOORING HANDS – 29 POSTS samahani wakuu kwa nafasi hii au office attendant nikiwa na diploma ya records management naweza apply hizi nafasi maana kuliko kusubiri post za records nataka kujaribu hizi itawezekana kweli nikaitwa kwenye usaili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je umesoma kigezo chake cha ELIMU ni kipi?
Wanataka hii kitu
.https://www.flyingfishonline.com/superyachts/course/stcw-basic-safety-training-course/#overview
 
MOORING HANDS – 29 POSTS samahani wakuu kwa nafasi hii au office attendant nikiwa na diploma ya records management naweza apply hizi nafasi maana kuliko kusubiri post za records nataka kujaribu hizi itawezekana kweli nikaitwa kwenye usaili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu mkuu kuomba usikate tamaa,Huwezi jua riziki yako iko wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom