NAFASI ZA INTERNSHIP COCA-COLA KWANZA

abutwalib

Senior Member
Feb 9, 2016
163
83
Jamani naomba kujua intership ya HR wanalipa kiasi gani?
Ni hilo tu kwa mwenye ufahamu na coca cola naomba jibu tafafhali
 
Unatafuta uzoefu wa kazi au kipato? Internship sio ajira bali ni kujitolea. Kama huwezi baki nyumbani ulale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom