Nafasi ya masomo

ilemisec

New Member
Aug 14, 2009
1
0
NAFASI YA MASOMO—KIDATO CHA KWANZA 2010

Tumeanza kuandikisha wanafunzi wanaotarajia kuingia kidato cha kwanza kwa mwaka 2010. Walengwa ni wahitimu wa darasa la saba.

Interview itafanyika tarehe 10 Oktoba, 2009 saa 3.00 asubuhi katika Ukumbi wa Ilemi High School.

Fomu za kujiandikisha zinapatikana:
1. Kwenye mtandao wa internet: www.ilemighschool.com
2. Ilemi High School—ofisi ya Makamu Mkuu wa Shule
3. Jengo la Naomi Mwamasika Enterprises—eneo la Mama John, Ilomba
4. Ukombozi Education Centre—karibu na shule ya Mkapa, Mwanjelwa

Gharama ya Fomu ni shilingi 10 000/- tu.

Sifa za Shule:
1. Karo nafuu sana
2. Mazingira tulivu yenye kumcha Mungu
3. Somo la Computer bure, internet access bure
4. Inafadhiliwa na Shirika la Uholanzi pia ina Shule dada ya Uholanzi
5. Walimu waliobebea na wanaojituma
6. Ina kituo cha Mitihani ya kidato cha II, IV, na VI.

KARIBU ILEMI KWA MAENDELEO YAKO

MKUU WA SHULE
S.L.P 2433 MBEYA
Simu: 0787 404061/ 0785 628245
 
Back
Top Bottom