Mjomba Nchumari
Member
- Jul 30, 2022
- 17
- 19
Hello kwema?
Natafuta Nurse/Medical Assistant awe amekamilika vyeti vya taaluma husika.
Eneo la kazi ni Mbezi mwisho barabara ya kuelekea Kinyerezi Dar es Salaam.
Awe tayari kufanya kazi shift za usiku, akiwa maeneo karibu na hayo itapendeza.
Akiwa tayari hata leo aje aanze kazi, mshahara maelewano.
Nipigie/wasap no - 0653971812.