Nafasi ya kazi, mwenye kuguswa tuwasiliane

Ni kweli wewe mke wa mtu hauwezi kuwa na muda wa kuchezea,maana usiku umeshsingia huu.Mumeo anataka akutumie.

Kijana mi kidume nakwambia kwa Mara nyingine jifunze adabu Kama babako alikataa mimba yako kwa mamako ukakulia malezi ya kishenzi usichezee wengine...

Narudia tena panda kitandani ujichezee kima wewe
 
Sawa mama,sitarudia tena.
 
Majaribu na lusugo kwenye mada jaribuni kumaliza tofauti zenu maana ya usomi ni kuwa civilized sio cha ming si Phd wala masters au CV ya nguvu cha msingi ni cash na mafanikio ndo maana hakuna pro bilionea
 
Haina haja ya kupata shida kumsoma mtu, lusungo ukisoma mtiririko wa comment zake hapo juu utangundua ana kitu inaitwa "Intellectual arrogance" na ndio msingi wa mabishano yake na majaribu.
 
Last edited by a moderator:
Hapana mkuu sina ID zaid ya moja humu jf,ila nimekerwa sana comment yako yenye vionjo vya mipasho,natumai ww ni ME hivyo hupaswi kuwa na jazba bila sababu za msingi.PUNGUZA JAZBA MKUU! Mimi ni ME mwenzako dat'z y nimekerwa.

Kafie mbele...
 
Kafie mbele...
Watu wenye ishu za msingi, hawapotez muda kwa kuandika mambo haya! Sasa unapowatukana waliokataliwa na baba zao na kulelewa na mama zao, unataka tukueleweje? Kuna maneno mengine mnayatumia lakin yanaumiza wengine! Mi nadhan jitahidi kuwa mtu wa busara na si kutafuta umaharufu uchwara humu JF!
 
Jeg er meget ked af abe dens ikke din skyld
 
Wivu wanini wakati nawaza habari za PhD now?

Hivi mwanafunzi wa masters Hana hata laptop? Okay simu yenye internet je?

Hata hivyo watu wenye vichwa butu Kama nyie hamuwezi hoji lolote kwa uduni wa akili...

Ninamashaka na PhD unayowazia, kwa haraka haraka tokea ujiunge JF hadi leo una jumla ya siku 243 na una post post 7,038. Hivyo unawastani wa post 28.9 kwa kadirio la chini ni post 28 au kadirio la juu post 29. Achilia mbali wastani wa like 4 kila siku unazozitoa. Sasa sijajua msomi anayewazia PhD kama anahuo muda kiasi hicho. Nawakilisha tu jamani.
 
Nakushauri ufanye busness au ufanye investment katika career yako
Amin...
Ushauri mzuri sana kiongozi,na hilo wazo lipo mpaka kwenye mahandishi.Ila kwa sasa nahitaji ajira kwanza sababu bado sijakaa vizuri kiuchumi.
 
Ninamashaka na PhD unayowazia, kwa haraka haraka tokea ujiunge JF hadi leo una jumla ya siku 243 na una post post 7,038. Hivyo unawastani wa post 28.9 kwa kadirio la chini ni post 28 au kadirio la juu post 29. Achilia mbali wastani wa like 4 kila siku unazozitoa. Sasa sijajua msomi anayewazia PhD kama anahuo muda kiasi hicho. Nawakilisha tu jamani.

No tengo tiempo para discutir con necios y rompí la gente como usted .. usted es completamente idiota ..
 
Wivu wanini wakati nawaza habari za PhD now?

Hivi mwanafunzi wa masters Hana hata laptop? Okay simu yenye internet je?

Hata hivyo watu wenye vichwa butu Kama nyie hamuwezi hoji lolote kwa uduni wa akili...
mtu ameomba sauport kama huwezi kumsaidia si ukae kimya?
 
Hayo yote yanatokea wap umekuwa uwanja wa matus.majvuno sio mazur jaman.haya sasa masterz na phd zenu znawatia jeuri had kuwatoa busura na ss std7 je? Argh mnaboa na ww author cupge kmya au haujui ile methal isemayo jibu la mjinga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom