Nafasi ya Kazi: Msimamizi wa Ofisi - Moshi Kilimanjaro

bizplan

JF-Expert Member
Jun 28, 2013
575
547
Kazi: Msimamizi wa Ofisi
Mahali: Moshi - Kilimanjaro

Majukumu
  • Kusimamia shughuli za ofisi
  • Kutunza hesabu za ofisi
  • Kufatilia mambo ya ofisi kwa wadau mbalimbali

Sifa
  • Elimu ya kidato cha sita na lazima awe na ufaulu wa somo la hesabu kuanzia alama 'B'
  • Akiwa na cheti cha masomo ya biashara au uhasibu yenye ufaulu mzuri ni sifa ya ziada.
Mshahara
- Tsh: 300,000

Namna ya kutuma maombi
- Tuma cv yako na kopi za vyeti vyako kwa humble2080@gmail.com

Mwisho wa kutuma maombi
- 28/01/2023
 
Wewe sema unatafuta mke, acha kusanifu watu, yaani umekosa kabisa msimamizi wa ofisi, huyo wa hesabu B ni criteria zipi za hivyo....

This is not a serious Advitisement. Does'nt Comply with Rules and Guides for Works and tenders.
 
Wale wote mnaokebehi hapo juu, ni kwa kuwa hamna uhitaji wa kazi husika.

Wenye uhitaji wameshaanza kutuma maombi na sifa tajwa wanazo.
 
Hata kama ni BAM..mtu aliyepata B atakuwa amefaulu vizuri na atakuwa ameenda chuo kuchukua Degree..

Sasa ndo alipwe 300k kweli?..
Yeye anafikiri watu ni zero brain kiasi hicho, kwa kuwacommand.
Alafu anatakiwa ajue this is not advartisement, ni upuuzi tu.
 
Kwamba vigezo na masharti kuzingatiwa hivi B ya hesabu inaonekana kitu rahisi sana eeh, kazi za kawaida hizo hata fomu 4 anatosha kuzifanya tu. mshahara wa 300K kwa kweli mtakuwa mnamkandamiza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom