hii ni neema kwetu sisi tuliosoma human resources na elimu ya jamii
hv hapa project planning and management inafiti kwa hyo nafac ya afisa tawala wandugu?
Mnasoma mikozi ya hovyo hovyo manaishia kuhangaika kutaka kufitisha qualification..kwenda huko katafute kazi ya planning ya maji taka