Nafasi 3000 za JWTZ na waliopita JKT kwa Mujibu wa sheria.

Dogo tulivyokuwa tukifikiria ni kwamba OPP muungano watasomwa wote kwa kuwa wao ndio wakongwe na kipaumbele cha CDF sababu wamesota sana lakini imekuwa kinyume baadhi wamebaki na nilivyosema wamebaki ulinibishia ukasema niende vizur nikaulize nilikoambiwa mtoto mbishi wewe huamini hadi damu
So u amaana kuwa hitimisho la op muungano baada ya op zingine kusomwa wewe unaujua????acheni mambo yenu yakubisha jeshi linataratibu zake pia huenda op muungano wameandaliwa utaratibu WAP coz idadi yao yajulikana so time will tell...... Harafu wasomi kuachwa na kuchukuliwa wasiowasomi wanajua mwenyewe sio wewe kwa kuwa una interest na msomi aliye jakata ndio huuponde utaratibu huu
 
Wewe dogo uwezo wako wakuelewa kitu chchote ni mdogo sana tena na wasi wasi hata umri wako ukawa under 20 vitu nilivyoandka vimekuzidi uwezo hata umeshindwa kuvielewa
 
taarifa kutoka kwa rafiki yangu aliyeko JKT mwaka wa tatu sasa hv. ajira 3000 za JWTZ tayari vijana washachukuliwa wa idadi hiyo. kwa waliokosa kwenda jwtz, vyombo vingine vya usalama kama polisi, uhamiaji, tanapa, na nyinginezo ndo wanasubiriwa kuja kuchukua vijana waliobaki. yeye bahati mbaya hajachukuliwa jwt....kwa uhakika zaidi waweza wasiliana na mtu yeyote aliyeko JKT
 
mkuu naomba muulize TANAPA vigezo vyao vikoje?
 
Acha unanga hata mkuu wa jkt alituambia kuwa hata ukipiga jkt week moja tu hauna tofauti na wengine waliopiga miezi sita. Kwanza tusidanganyane jkt kikubwa ni kulima hivyo vingine ni kwa kiasi kidogo.
Wewe ndie uache unanga..!
Wiki moja wee ilinganishe na mtu ametumikia mwaka!!

BT jeshi linaajiri kwa mahitaji yake wameona TMA kuwa watu wanaendelea na kozi pia kuna wengine was akiba muda wowote wanaweza anza kozi TMA...sasa wanahitaji sana askar kuliko maafsa so wasife moyo Siku yao inakuja
 
Back
Top Bottom