Nafasi 2000 za kazi, Viettel Tanzania

ulifanyaje mkuu ulituma email tu na kama ni email ulituma cv pamoja application latter au mi kama sijaelewa elewa naomba nielekeze.

nilituma emai kuomba application form then wakanitumia hyo application form nikajaza nikawatumia bac
 
Love: 2eleweshane vizuri mkuu kuhusu hiyo kazi mana hata gazt lenyew, ckulsoma hilo la majuzi, na km email yao unayo unaweza ukai2pia hapa
 
Love: 2eleweshane vizuri mkuu kuhusu hiyo kazi mana hata gazt lenyewe ckulsoma hilo la majuzi, na km email yao unayo unaweza ukai2pia hapa
 
Hii kampuni ni ya kihuni sana, kwa wasio na sehemu kwa sasa wanaweza kuanza nao. Nilikutana nao katika kazi zangu za real estate consultation, wakaniomba kama naweza kuwa nao, nikawakubalia kwa mazungumzo ila malipo yao yalinichosa na ndio maana wanaenda wenyewe mpaka huko vijijini, nadhani serikali imelala,yaani wanawaacha watu wanajitanua ndani ya nchi yetu. mishahara yao ni 250k-500k. Walitaka kunilipa kwa mwezi pesa ambayo walinilipa kwa ushauri wa siku 2,nikawauliza. Ni bahili sana hawa jamaa,
 
Dah hao jamaa wahuni sana mimi nilituma application nikiwa mkoani zilipita siki nyingi bila kuitwa nikaondoka mkoan kwenda dar, nikiwa dar nikapigiwa simu natakiwa kwenye interview ikabidi nitoke dar haraka kuwahi interview na kwel nikafanya hiyo interview ilikua ya bussiness staff wakaniambia nimefaulu wakanipa form zao nijaze halafu niambatanishe na academic certificates zangu ambazo nime certify nikafanya hivo na kuwarudishia form na hvo vyeti baada ya hapo nimekaa mwezi mmoja na nusu kimya kuna mshikaji wangu anapiga kazi nao nikamuulizia akaniambia eti hizo nafasi zimeota mbawa na hadi leo sijapigiwa simu wala text!! Kwakweli wameniuzi sana na gharama nilizotumia.
 
Back
Top Bottom