Ndugu juzi nilisikia gazeti la Daily News na Habari Leo, walitangaza nafasi 2000 za Viettel, mwenye tangazo atupie basi hilo la nafasi 2000.hawa jamaa wapo serious naona uhuru ilitoa habari zao juu ya mzungumzo yao na kikwete please rushieni tangazo wakuu tuingie mzigonijamani