Nadhani Kazi ya Wito ni ya Tanesco,na si Afya,Maji wala Ualimu....

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
Jamani napenda ku-declare interest kuwa mimi ni mtumishi wa umma katika Idara ya Afya..

Lakini,tuseme ukweli... Katika idara ambazo inasemwa ni kazi za wito,yetu na ya Waalimu,tunanyanyasika sana.. Kidogo,tutaambiwa hatuna ubinadamu,na mengine mengi..

Sasa angalieni wenzetu... Wana incentives nyingi..kiukweli sijui zote ila ni nyingi sana!
Mara,mabati baada ya miaka mitano,mara sementi,mara sijui ni marupurupu gani.. Yaani hadi basi..

Sitegemei kupondwa kwa ajili ya idara yangu,ila tafadhalini waungwana,tuongee yote na tuje kukubaliana umuhimu wa kazi za idara zetu ume-base wapi na tunapimaje umuhimu huo..

Ahasanteni.
 
Hata linapokuja swala la kujaribu "kuikumbusha Serikali" bado tunaonekana watovu wa adabu na tusio na ubinadamu mbele ya jamii.. Na wengine wanahisi tuko "arrogant"..
 
Thread ili iuzike mjomba,kipindi hiki imtaje Lowassa,Zitto,January,na mambo ya uchaguzi kama hivi...

Mada yako nzuri,nitachangia baadaye wakiishachangia watu wawili-watatu..
 
Back
Top Bottom